Aigle
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 1,540
- 7,973
Burna Boy usiku wa jana ameonesha ukubwa wake kidunia baada ya kufanikiwa kuujaza uwanja wa London kwa mara ya pili mfululizo na kuweka historia.
Uwanja huo maarufu duniani unaingiza mashabiki 80,000 na mauzo ya tiketi Burna Boy amepata zaidi ya dola milioni 8 ambazo ni zaidi ya billion 20 fedha halali za Kitanzania, jamaa kakusanya ndani ya usiku mmoja [emoji24]so poa aisee.
Diamond Platnumz bado ni msadii mdogo Afrika, siku akijaza uwanja wa O2 Arena au huo wa London, ndio rasmi sasa tutamuita msanii mkubwa Afrika.
PIA SOMA
- Burna Boy awa msanii wa kwanza kutoka Afrika kujaza Uwanja Marekani