Nani anampiga vita??kwamba kuna mtu huwa anamnyima tiketi ya ndege anapotaka kwenda kufanya show??
Haya mambo hayahitaji excuse zaidi ya kukaza malinda tu,wenzetu wana factor nyingi sana zinazowarahisishia hili,sio kila siku kukimbilia kusema support tz hakuna.support gani inahitajika!!!mtu ana stream mamilion youtube,sportfy,nk support gani inahitajika zaidi ya hiyo??
Watu wamemaliza kufanya kwa upande wao ndani ya nchi humu,huko nje ni yeye na team yake waparapatue mpaka kieleweke,sio kulilia huruma muda wote.
Ukitoa wanigeria kwa upande wa music,hakuna nchi nyingine africa ambayo wasanii wake wanakoroma nje ya africa,sababu kubwa kabisa ni idadi yao nje ya nchi,na hata ndani ya nchi yao.watu 300mln wana impact kubwa sana kulinganisha na watu 60mln ktk kufanya jambo linalofanana.
Ndio maana akina harmonize walisema musix wa tz nje bado sana,asije akakudanganya mtu kuna kitu anafanya kuuweka sawa,hakuna kilichofanyika.