macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Hizi perfomance za wanamusic wa Tanzania kwenye matamasha zipo siku nyingi tu na walishakwenda wengi. Mpaka wapiga mnanda walishakwenda.Diamond platnumz juzi tu hapa kafanya performance AfroNation na watu wameimba nae nyimbo zake. Kitendo cha kupiga show pale kinaweza kuwafungulia njia wasanii wengine wa nyumbani tukawaona kwenye fest zinazokuja miaka ya mbele.
Hizi perfomance za wanamusic wa Tanzania kwenye matamasha zipo siku nyingi tu na walishakwenda wengi. Mpaka wapiga mnanda walishakwenda.
Ni kweli. Siyo sawa na matamasha mengine lakini bado tu ni tamasha.AfroNation ni another level mkuu. Sasa hivi ndio la moto na wasanii wanaopanda pale wote kwa hii miaka ni wale wenye majina.
Mwamba nazikubali nyimbo zake,,,ila siku hizi nikimsikia zinakuja tu zile stori za pdidyBurna Boy usiku wa jana ameonesha ukubwa wake kidunia baada ya kufanikiwa kuujaza uwanja wa London kwa mara ya pili mfululizo na kuweka historia.
Uwanja huo maarufu duniani unaingiza mashabiki 80,000 na mauzo ya tiketi Burna Boy amepata zaidi ya dola milioni 8 ambazo ni zaidi ya billion 20 fedha halali za Kitanzania, jamaa kakusanya ndani ya usiku mmoja [emoji24]so poa aisee.
Diamond Platnumz bado ni msadii mdogo Afrika, siku akijaza uwanja wa O2 Arena au huo wa London, ndio rasmi sasa tutamuita msanii mkubwa Afrika.
PIA SOMA
- Burna Boy awa msanii wa kwanza kutoka Afrika kujaza Uwanja Marekani
hii nafasi angepata yule mtoto wa tandale nahisi umoja wa uvccm wangepita kila mkoa kumshuruku mama kaupiga mwingi kutangaza utaliiBurna Boy usiku wa jana ameonesha ukubwa wake kidunia baada ya kufanikiwa kuujaza uwanja wa London kwa mara ya pili mfululizo na kuweka historia.
Uwanja huo maarufu duniani unaingiza mashabiki 80,000 na mauzo ya tiketi Burna Boy amepata zaidi ya dola milioni 8 ambazo ni zaidi ya billion 20 fedha halali za Kitanzania, jamaa kakusanya ndani ya usiku mmoja [emoji24]so poa aisee.
Diamond Platnumz bado ni msadii mdogo Afrika, siku akijaza uwanja wa O2 Arena au huo wa London, ndio rasmi sasa tutamuita msanii mkubwa Afrika.
PIA SOMA
- Burna Boy awa msanii wa kwanza kutoka Afrika kujaza Uwanja Marekani
hii nafasi angepata yule mtoto wa tandale nahisi umoja wa uvccm wangepita kila mkoa kumshuruku mama kaupiga mwingi kutangaza utalii
Ni kweli. Siyo sawa na matamasha mengine lakini bado tu ni tamasha.
Taifa pale kwa Nkapa kiingilio kiwekwe 10M kwa kichwa utaenda?Sema hata wa kwetu anajitahidi sana.Maana nikiangalia kama domo asingekuwepo ni nani angekua anawajambisha wanaija kiba ama nani jamani...
sasa nyie mnaimba ''kama kupenda kampende mamako'' halafu unataka nani akupende tena?Kwa kweli. Wabongo tupo wachache mbele lakini pia hata support hatupeani ase. Sio ng’ambo tu hata ndani pia hatupendani.
Sio mara ya kwanza, mara ya pili wala ya tatu kwake kufanya performance afronation! Ameperform kwenye hilo jukwaa kila mwaka tangu amepata umaarufu! Mziki wetu kwenda kimataifa bado safari ni ndefu mno! Jiulize asingekuwepo Diamond kuhusu swala la kimataifa nani angekuwa anatuwakilisha sio Tz ni EA nzima! Af kibaya zaidi hamna msanii mwingine mwenye dalili ya kufika level alizofika Diamond😂..Nigeria wana new blood ambazo tayari zimeenda international hivyo hata kina Davido na Kina Burna wakiacha kuimba kuna watu watawakilisha nchi yao kimziki ila njoo bongo sasa🤣🤣Diamond platnumz juzi tu hapa kafanya performance AfroNation na watu wameimba nae nyimbo zake. Kitendo cha kupiga show pale kinaweza kuwafungulia njia wasanii wengine wa nyumbani tukawaona kwenye fest zinazokuja miaka ya mbele.
Sio mara ya kwanza, mara ya pili wala ya tatu kwake kufanya performance afronation! Ameperform kwenye hilo jukwaa kila mwaka tangu amepata umaarufu! Mziki wetu kwenda kimataifa bado safari ni ndefu mno! Jiulize asingekuwepo Diamond kuhusu swala la kimataifa nani angekuwa anatuwakilisha sio Tz ni EA nzima! Af kibaya zaidi hamna msanii mwingine mwenye dalili ya kufika level alizofika Diamond😂..Nigeria wana new blood ambazo tayari zimeenda international hivyo hata kina Davido na Kina Burna wakiacha kuimba kuna watu watawakilisha nchi yao kimziki ila njoo bongo sasa🤣🤣
Nani anampiga vita??kwamba kuna mtu huwa anamnyima tiketi ya ndege anapotaka kwenda kufanya show??Huyo ndio peke yake lakini wanavyompiga vita sijui kawaibia nini? Halafu nafikiri pamoja na kufanya kazi kwa bidii lakini jamaa ni humble sana ndio maana unamwona wanaija, wakongo na wasauzi hawana noma nae.
Nani anampiga vita??kwamba kuna mtu huwa anamnyima tiketi ya ndege anapotaka kwenda kufanya show??
Haya mambo hayahitaji excuse zaidi ya kukaza malinda tu,wenzetu wana factor nyingi sana zinazowarahisishia hili,sio kila siku kukimbilia kusema support tz hakuna.support gani inahitajika!!!mtu ana stream mamilion youtube,sportfy,nk support gani inahitajika zaidi ya hiyo??
Watu wamemaliza kufanya kwa upande wao ndani ya nchi humu,huko nje ni yeye na team yake waparapatue mpaka kieleweke,sio kulilia huruma muda wote.
Ukitoa wanigeria kwa upande wa music,hakuna nchi nyingine africa ambayo wasanii wake wanakoroma nje ya africa,sababu kubwa kabisa ni idadi yao nje ya nchi,na hata ndani ya nchi yao.watu 300mln wana impact kubwa sana kulinganisha na watu 60mln ktk kufanya jambo linalofanana.
Ndio maana akina harmonize walisema musix wa tz nje bado sana,asije akakudanganya mtu kuna kitu anafanya kuuweka sawa,hakuna kilichofanyika.