my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
Leo msanii kutoka Nigeria ambae anatamba duniani kwa sasa Burna Boy amewasili nchini Marekani na kupokelewa na mkongwe wa muziki nchini humo P. Diddy. Hii inaonesha wazi mshindi wa tuzo za BET katika kipengele cha Best International Act ni Burna Boy. Na kwa sasa yupo nchini Marekani akisubiri kukabidhiwa tuzo yake jumatatu.
Hongera sana Burna Boy kwa kuwa mshindi unastahili sana. Na pole za dhati zimuendee bwana Diamond Platnumz na washiriki wengine walioshindwa. Asiekubali kushindwa si mshindani 👀
P. Diddy na Burna Boy wakisalimiana kwa furaha na upendo 😉