Burna Boy awasili Marekani na kupokelewa na P. Diddy

Burna Boy awasili Marekani na kupokelewa na P. Diddy

Safi maana kila kona wamekula za uso. Team wanaharakati uchwara hawajaweza kumtoa kwenye tuzo,yeye kama yeye nae hataambulia kitu.
 
Hata kuwa nominated nayo ni sifa tosha...

Kwenye promo zake ataongezea neno la BET Nominee.... Hongera kwa Kijana amefanya mengi (A life well Spent)
 
Sababu yako haina mashiko!! Kitakachomfanya asishinde sio kwa sababu eti yupo CCM, na ndio maana hata ile petition yenu, waandaaji wa tuzo wameona ni ujinga tu!!

Muda utazungumza, muda ni mwalimu muda mzuri, so kaa kwa kutulia
 
Kuimba babalao kumbe ndio issue[emoji849]. Nikajua kisa kampeni za sisiemu. Aisee rafiki hapo nimeelewa chuki ni kwa diamond alone sio kisa alishiriki kampeni. Maana kuimba ni kazi yake na ana maamuzi ya kuimba anachotaka
Kisa siyo kampeni za CCM wala yeye kuwa CCM bali tatizo ni kumuunga mkono bladifakenii ambae alikuwa na systematic kampeni ya kuteka,kutesa,kuua,ukabila,ukanda,ubaguzi wa rangi,kuua demokrasia,kuua uhuru wa kujieleza na kadhalika.Unapokuwa unamuunga mkono mtenda maovu nawe unakuwa ni mtenda maovu pia.
 
Kisa siyo kampeni za CCM wala yeye kuwa CCM bali tatizo ni kumuunga mkono bladefakenii ambae alikuwa na systematic kampeni ya kuteka,kutesa,kuua,ukabila,ukanda,ubaguzi wa rangi,kuua demokrasia,kuua uhuru wa kujieleza na kadhalika.Unapokuwa unamuunga mkono mtenda maovu nawe unakuwa ni mtenda maovu pia.
Sawa. Je katika wasanii wa Tanzania ni yeye peke yake? Mbona hizo kampeni sizikii kwa harmonize, alikiba, nandy na wengineo maana nao walishiriki. Tena na walitambiana baada ya kupewa zile kofia na the late. Au mabaya ni kwa mmoja tu kwa wengine masafi??. Ndio swali langu hilo
 
Mbona nae yupo njiani anaenda labda atapokelewa na Alicia k
 
Ngoja tusubiri zitakavyoanza kujisifu humu na kule twitter,

Kuna nyumbu moja nimeiona hapo juu, inasema akikosa tuzo anarudi Kigoma kulima mawese!

Nilichogundua nyumbu wengi wanasumbuliwa na matatizo mawili ya msingi,

Uelewa mdogo na chuki, hivi vitu usipoweza kuvibalance lazima uonekane kituko.
Mond akienda lima mawese ujue kuna fursa ya mabilioni kaiona...anaweza kua mkulima mzuri na mkubwa sana.
 
Leo msanii kutoka Nigeria ambae anatamba duniani kwa sasa Burna Boy amewasili nchini Marekani na kupokelewa na mkongwe wa muziki nchini humo P. Diddy. Hii inaonesha wazi mshindi wa tuzo za BET katika kipengele cha Best International Act ni Burna Boy. Na kwa sasa yupo nchini Marekani akisubiri kukabidhiwa tuzo yake jumatatu.

Hongera sana Burna Boy kwa kuwa mshindi unastahili sana. Na pole za dhati zimuendee bwana Diamond Platnumz na washiriki wengine walioshindwa. Asiekubali kushindwa si mshindani 👀

View attachment 1830036
P. Diddy na Burna Boy wakisalimiana kwa furaha na upendo 😉
Wanaija wanakubalika sana USA,sie wacha tukalie majungu na uchawi,badala ya kumsapoti kijana wetu,ndio kwanza tunaendekeza chuki,kisa tunaona wivu,
Maskini yoyote ni mchawi,watu wote wanaomponda Mond,ama ni maskini
 
Sawa. Je katika wasanii wa Tanzania ni yeye peke yake? Mbona hizo kampeni sizikii kwa harmonize, alikiba, nandy na wengineo maana nao walishiriki. Tena na walitambiana baada ya kupewa zile kofia na the late. Au mabaya ni kwa mmoja tu kwa wengine masafi??. Ndio swali langu hilo
Wengine kufanya maovu sawa na ya Diamond haiondoi ukweli kuwa Diamond alifanya maovu wala haiwezi kuondoa lawama kuwa Diamond alifanya maovu.Kwani rafiki ikitokea diamond peke yake amepelekwa mahakamani kwa kuunga mkono maovu aliyofanya bladifakeni, Diamond anaweza kujitetea huko mahakamani kuwa hana hatia kwa sababu hata wasanii wengine walifanya maovu hayohayo?

Two wrongs can't make a right.Wengine kufanya maovu yaleyale aliyofanya Diamond haizuii wala haitoi kibali cha kuzuia Diamond kulaumiwa na kuhukumiwa.
 
Leo msanii kutoka Nigeria ambae anatamba duniani kwa sasa Burna Boy amewasili nchini Marekani na kupokelewa na mkongwe wa muziki nchini humo P. Diddy. Hii inaonesha wazi mshindi wa tuzo za BET katika kipengele cha Best International Act ni Burna Boy. Na kwa sasa yupo nchini Marekani akisubiri kukabidhiwa tuzo yake jumatatu.

Hongera sana Burna Boy kwa kuwa mshindi unastahili sana. Na pole za dhati zimuendee bwana Diamond Platnumz na washiriki wengine walioshindwa. Asiekubali kushindwa si mshindani 👀

View attachment 1830036
P. Diddy na Burna Boy wakisalimiana kwa furaha na upendo 😉
Dai na vigagula wenzake wasione hii
 
Back
Top Bottom