Burna Boy awasili Marekani na kupokelewa na P. Diddy

Burna Boy awasili Marekani na kupokelewa na P. Diddy

Hivi rayvan alishachukuaga hii tuzo kama upcoming artist BET nakumbuka, dai hii tuzo anaitamani nusu kufa lakini ndiyo hivyo alijichanganya kuingia kwenye siasa na kuchagua upande ule wa manjano
Tuzo ya Rayvann ilikuwa ni viewers choice..haina lolote hiyo tuzo..i.e hadhi ndogo

Hii ya International act ni kubwa
 
Tuzo zimefanyika mda gani nimeangalia insta ya Millard na BET Africa, mbona sijaona hiko kitu.
 
Leo msanii kutoka Nigeria ambae anatamba duniani kwa sasa Burna Boy amewasili nchini Marekani na kupokelewa na mkongwe wa muziki nchini humo P. Diddy. Hii inaonesha wazi mshindi wa tuzo za BET katika kipengele cha Best International Act ni Burna Boy. Na kwa sasa yupo nchini Marekani akisubiri kukabidhiwa tuzo yake jumatatu.

Hongera sana Burna Boy kwa kuwa mshindi unastahili sana. Na pole za dhati zimuendee bwana Diamond Platnumz na washiriki wengine walioshindwa. Asiekubali kushindwa si mshindani 👀

View attachment 1830036
P. Diddy na Burna Boy wakisalimiana kwa furaha na upendo 😉
Kwani si alikua DISQUALIFIED?? Umesahau ile petition yenu?
 
Chuki inakutafunaaaaaa...maamake!
Adui yako yuko ndani yako mkuu kilabuendako na ufanyalo uko na adui yako. Utaisha
 
Nilipoona ile video mikaona mmmmhhh....hapa maji yashakuwa mengi unga kidogo kwakweli.
Tatizo domo anataka kushindana na kila mtu badala ya kushindana na watu wa levo zake au waliomzidi...lkn mara kiba mara harmonize sijui mwijaku[emoji3525][emoji3525][emoji3525]...anasahau kwamba ana vipengele na wa[emoji1184]
The best challenges the best...hajajiweka yeye hapo bali kawekwa na panel ya BET...
Wazee wa petition mnasaga meno tu
 
I hope haters wake watafanya sherehe… wakidhani pesa zake zinapubgua benki na anarudi Tandale [emoji3][emoji3]
Issue sio kusagiana kunguni Bali ni uhalisia Diamond bado kinda sana kwa wasanii kutoka Nigeria labda angekuwa anaimba kwa kiingereza au kihisipania labda angejulikana.
 
Diamond baada ya kukubali kushirikiana na maovu ya BLADIFAKENII alipoteza kila kitu.
_u.jpg
 
Hivi rayvan alishachukuaga hii tuzo kama upcoming artist BET nakumbuka, dai hii tuzo anaitamani nusu kufa lakini ndiyo hivyo alijichanganya kuingia kwenye siasa na kuchagua upande ule wa manjano
Pole sana Mond
 
Akose kabisa huyu zuzu..alimsifia Sana mwendazake-mshamba kwenye show yake ya kigoma..nakumbuka Kila baada ya wimbo mmoja alikuwa anaanza kumsifia alafu anamalizia kwa kumsifia bashite mteka watu..(show ilikuwa Ni kusifu na kuabudu) shenzy kabisa huyu kijana
 
Back
Top Bottom