Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,416
- 16,603
Conclusion yangu ni kua issue ni Diamond ila sio kusupport ccm au magufuli.Wengine kufanya maovu sawa na ya Diamond haiondoi ukweli kuwa Diamond alifanya maovu wala haiwezi kuondoa lawama kuwa Diamond alifanya maovu.Kwani rafiki ikitokea diamond peke yake amepelekwa mahakamani kwa kuunga mkono maovu aliyofanya bladifakeni, Diamond anaweza kujitetea huko mahakamani kuwa hana hatia kwa sababu hata wasanii wengine walifanya maovu hayohayo?
Two wrongs can't make a right.Wengine kufanya maovu yaleyale aliyofanya Diamond haizuii wala haitoi kibali cha kuzuia Diamond kulaumiwa na kuhukumiwa.
Maana mimi nilikua anti-the late lakini nikija kwa diamond alipokosea nilichukia na haikuondoa ushabiki wangu kwake.