mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Mbona wakina kiba,konde,nandy,na wasanii wengi waliunga mkono juhudi watu hawawasemiMaoni yako hayawezi kuondoa fact kuwa mtu yeyote anaeunga mkono maovu ni mtu mbaya na anatakiwa kukemewa na kutokuungwa mkono.Diamond aliunga mkono maovu aliyokuwa anafanya Magufuli kwa hiyo ukweli ni kwamba Diamond ni mtu mbaya na hapaswi kuungwa mkono.Hii ni fact na wala siyo maoni yangu.
Ova