Burna Boy awasili Marekani na kupokelewa na P. Diddy

Burna Boy awasili Marekani na kupokelewa na P. Diddy

Kisa siyo kampeni za CCM wala yeye kuwa CCM bali tatizo ni kumuunga mkono bladifakenii ambae alikuwa na systematic kampeni ya kuteka,kutesa,kuua,ukabila,ukanda,ubaguzi wa rangi,kuua demokrasia,kuua uhuru wa kujieleza na kadhalika.Unapokuwa unamuunga mkono mtenda maovu nawe unakuwa ni mtenda maovu pia.
Ndugu zako wangapi walimuunga mkono Magufuli , mbona hatukuoni ukiwa diss, muache uchoko wa kufuata mikumbo na kupelekwa pelewa moto
 
Sawa. Je katika wasanii wa Tanzania ni yeye peke yake? Mbona hizo kampeni sizikii kwa harmonize, alikiba, nandy na wengineo maana nao walishiriki. Tena na walitambiana baada ya kupewa zile kofia na the late. Au mabaya ni kwa mmoja tu kwa wengine masafi??. Ndio swali langu hilo
Wanasubiri hadi wawe nominated
 
mkuu kwan anayegawa tuzo ni mkeo mpaka akusikilize ww? waulize wakina kigogo na maria sarungi ile petition yao iliishia wapi... walizani BET ni Mama Samia, wale hawapelekeshwi na mihemko ya wapinzani uchwara
Hawa machoko , wamechakazwa na maisha, sasa wanataka kuhamishia hasira zao kwa Diamomd ili angalau wapate ahueni
 
Kwa comment yako inaonesha una chuki binafsi na Diamond wala sio kwasababu unampenda Sana Burnaboy.Hii tabia ya kuwa na wivu na watu wenye mafanikio mtaacha lini?
Hii ni tabia ya kurithi, sio rahisi kuiacha labda mhusika afanyiwe maombi makali sana
 
You get it wrong, hunijui wala sikujui, you should not judge me from your own perspectives besides i have the right to chose whichever side i want, suala la mafanikio ya daimond hayana impact yoyote kwenye maisha yangu, it adds nothing on my plate, i am neither his competitor nor his rival, sio lazima kila mtu achague upande unaoutaka wewe na mtu anapokua tofauti na upande wako haimaanishi kwamba ana chuki
Abrianna Dada me nakuambia ukweli Wala usijifiche kwenye kichaka Cha burnaboy kama kweli unampenda burna boy kulikuwa na haja gani ya kusema #NoBetforsadala kwa maana nyingine hapo wishful yako sio burnaboy ashinde Bali Diamond akose tufanye diamond atashindwa vip wewe utafaidika na nini uchumi wako utapanda au kama ujaolewa utaolewa au Nini au yeye atakuwa masikini au itakuaje kwanini unabeba mzigo mzito kwa kuwazia mabaya wengine ambao hata tu kwenye cycle ya maisha yako hayupo alafu ukitoka hapo unaenda kabisani au msikitini kusali, hakuna umasikini mbaya kama wa akili ndio maana kwenye maisha yenu Mungu anaweka vizuwizi.Mdada kama wewe kuwa na roho ya uchawi na wivu inatia shaka Sana aisee mbona sisi wengine hatuna haya mambo
 
Hii ni tabia ya kurithi, sio rahisi kuiacha labda mhusika afanyiwe maombi makali sana
Kipangaspecial Kabisa hii tabia ipo kwa Watanzania wengi hapa jinarani kuna rafiki yangu anaitwa Juma ana rafiki yake anaitwa Razaki huyo Razaki alikuwa amepanga kwenye nyumba ya baba yake Juma, sasa juma kafeli mwaka wa pili wa chuo wakati Razaki amepass sasa hiv yuko mwaka wa tatu.Tangu apass na Juma afeli Baba yake na Juma ambaye ni mwenye nyumba amekuwa akimfanyia visa kweli kweli vya kiswahili kila akitaka kusoma akiwa ghetto anajisikia kizunguzungu, akiamka asubuhi anakuta kwenye mashuka kuna unga unga ajui imetoka wapi, anaota ndoto za ajabu ajabu usiku n.k alafu akipeleka mashitaka kwa kinachoendea kwa mwenye nyumba ( Baba yake Juma ) aoneshi kuguswa hata maelewano yake na baba yake Juma yamejuwa mabaya na yeye ajui kwanini kwasababu hajawi kumkosea.Na kibaya zaidi amelipa kodi ya mwaka mzima mpaka kuna wakati namuhurumia
 
Leo msanii kutoka Nigeria ambae anatamba duniani kwa sasa Burna Boy amewasili nchini Marekani na kupokelewa na mkongwe wa muziki nchini humo P. Diddy. Hii inaonesha wazi mshindi wa tuzo za BET katika kipengele cha Best International Act ni Burna Boy. Na kwa sasa yupo nchini Marekani akisubiri kukabidhiwa tuzo yake jumatatu.

Hongera sana Burna Boy kwa kuwa mshindi unastahili sana. Na pole za dhati zimuendee bwana Diamond Platnumz na washiriki wengine walioshindwa. Asiekubali kushindwa si mshindani 👀

View attachment 1830036
P. Diddy na Burna Boy wakisalimiana kwa furaha na upendo 😉
Uber
 
Burna na scott storch daaah.....hakamatiki tena huyu
 
Leo msanii kutoka Nigeria ambae anatamba duniani kwa sasa Burna Boy amewasili nchini Marekani na kupokelewa na mkongwe wa muziki nchini humo P. Diddy. Hii inaonesha wazi mshindi wa tuzo za BET katika kipengele cha Best International Act ni Burna Boy. Na kwa sasa yupo nchini Marekani akisubiri kukabidhiwa tuzo yake jumatatu.

Hongera sana Burna Boy kwa kuwa mshindi unastahili sana. Na pole za dhati zimuendee bwana Diamond Platnumz na washiriki wengine walioshindwa. Asiekubali kushindwa si mshindani 👀

View attachment 1830036
P. Diddy na Burna Boy wakisalimiana kwa furaha na upendo 😉


Lazima kaliwa
 
Back
Top Bottom