Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Kwani kuna wasanii wengine wa Tanzania tofauti na Diamond wanaogombea tuzo za bet?Kwani ni msanii pekee yake diamond aliyeunga mkono juhudi?
Mbona wasani ni wengi tu wapo wengine mpaka walijifanya makomando kutembea na kamba,mbona hamwalaumi!
Hebu acheni zengwe kama kuna lingine mseme
Ova
Tumeamua kuwaambia mabeberu picha halisi ya kijana wetu anaegombea hiyo tuzo ili wachukue hatua maana mabeberu ndio wanahubiri haki za binadamu.
Kama kweli Diamond aliunga mkono maovu ya yule gaidi wa chato hatuna budi kumsagia kunguni ili kutengeneza jamii bora inayojali haki za binadamu.
Mnaomtetea diamond kwenye hili fikirieni upya! Mtu anakula meza moja na adui yako ambaye anaua ndugu zako, alafu papo hapo anakuzomea vile unatendewa ukatili... Rejea wimbo wake wa kumsifu Dictator