Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Nimeifuatilia Timu hii kwa muda mrefu nimebaini kwamba kwa kiwango ilichoonyesha haikustahili nafasi iliyopo , inapaswa kuwa juu ya vibonde Arsenal na Chelsea .
Kiukweli ilistahili kucheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao .
Kiukweli ilistahili kucheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao .