Burnley inapaswa kumaliza juu ya Arsenal na Chelsea

Burnley inapaswa kumaliza juu ya Arsenal na Chelsea

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Nimeifuatilia Timu hii kwa muda mrefu nimebaini kwamba kwa kiwango ilichoonyesha haikustahili nafasi iliyopo , inapaswa kuwa juu ya vibonde Arsenal na Chelsea .

Kiukweli ilistahili kucheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao .
 
nafasi ya 7 si haba wapo juu ya lecister na everton!!
 
Back
Top Bottom