Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Bwaku Ngaji jingine hilo.
Unampaisha tu, huyu hana hadhi ya kujadilowa hapa JF labda huko kwenye magroup ya WhattsappMwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Faris Buruan, amewajia juu wanasiasa wanaopigania mabadiliko ya Katiba Mpya, akidai kuwa ajenda hiyo haina tija kwa wananchi wa kawaida. Akizungumza mbele ya wananchi, Buruan amesema kuwa wananchi wengi hata hawaijui Katiba iliyopo kwa sasa na kwamba matumizi ya misamiati hiyo migumu yanawatoa kwenye mambo ya msingi.
Buruan amefafanua kuwa wananchi wanahitaji huduma muhimu kama vile maji safi, barabara bora, na huduma bora za afya badala ya kujaza vichwa vyao na mijadala ya katiba. Amedai kuwa wanaopigia kelele katiba mpya wanalenga mambo mawili tu binafsi:
1. Kubadilisha Tume ya Uchaguzi ili wapate madaraka na
2. Kupunguza madaraka ya Rais.
Ameongeza kuwa hoja ya kwamba Rais wa Tanzania ana madaraka makubwa kupita kiasi haina mashiko, kwani uhuru uliopo nchini unawapa fursa hata ya kumkosoa kiongozi mkuu. Ametoa mfano kwa kuwataka wanaopinga kulinganisha Katiba ya Tanzania na ya nchi jirani kama Rwanda au Uganda ili waweze kubaini jinsi Katiba ya Tanzania ilivyo ya kidemokrasia na inayotoa nafasi pana ya uhuru.
Hata Polepole alikuwaga kama huyu pimbi.Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amekataa hoja ya Katiba Mpya inayosisitizwa na baadhi ya vyama vya upinzani, hususan CHADEMA, akisema wananchi hawahitaji Katiba Mpya.
Aidha, Faris amekosoa baadhi ya kauli zinazotolewa na CHADEMA katika ziara zake, akidai kuwa chama hicho kimekuwa kikieneza chuki na kumtukana Rais kwa madai kwamba ana mamlaka makubwa, jambo ambalo amesema si kweli.
Buruan amefafanua kuwa wananchi wanahitaji huduma muhimu kama vile maji safi, barabara bora, na huduma bora za afya badala ya kujaza vichwa vyao na mijadala ya katiba. Amedai kuwa wanaopigia kelele katiba mpya wanalenga mambo mawili tu binafsi:
1. Kubadilisha Tume ya Uchaguzi ili wapate madaraka na
2. Kupunguza madaraka ya Rais.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amekataa hoja ya Katiba Mpya inayosisitizwa na baadhi ya vyama vya upinzani, hususan CHADEMA, akisema wananchi hawahitaji Katiba Mpya.
Aidha, Faris amekosoa baadhi ya kauli zinazotolewa na CHADEMA katika ziara zake, akidai kuwa chama hicho kimekuwa kikieneza chuki na kumtukana Rais kwa madai kwamba ana mamlaka makubwa, jambo ambalo amesema si kweli.
Buruan amefafanua kuwa wananchi wanahitaji huduma muhimu kama vile maji safi, barabara bora, na huduma bora za afya badala ya kujaza vichwa vyao na mijadala ya katiba. Amedai kuwa wanaopigia kelele katiba mpya wanalenga mambo mawili tu binafsi:
1. Kubadilisha Tume ya Uchaguzi ili wapate madaraka na
2. Kupunguza madaraka ya Rais.
🤣🤣🤣🤣🤣 Dah!Alitoka kucheza ngoma ya msusumio au alikuwa amelewa?Amuulize bibi yake Samuya,ni kipi kimemsaidia kukaa pale Magogoni na kumpata tapeli wa Zimbabwe wapige deals!?