PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,776
- 26,168
mshaurini apunguze akili za kulakula, au ajizube tundu kwa kdole ili apunguze kuharisha.Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amekataa hoja ya Katiba Mpya inayosisitizwa na baadhi ya vyama vya upinzani, hususan CHADEMA, akisema wananchi hawahitaji Katiba Mpya.
Aidha, Faris amekosoa baadhi ya kauli zinazotolewa na CHADEMA katika ziara zake, akidai kuwa chama hicho kimekuwa kikieneza chuki na kumtukana Rais kwa madai kwamba ana mamlaka makubwa, jambo ambalo amesema si kweli.
Buruan amefafanua kuwa wananchi wanahitaji huduma muhimu kama vile maji safi, barabara bora, na huduma bora za afya badala ya kujaza vichwa vyao na mijadala ya katiba. Amedai kuwa wanaopigia kelele katiba mpya wanalenga mambo mawili tu binafsi:
1. Kubadilisha Tume ya Uchaguzi ili wapate madaraka na
2. Kupunguza madaraka ya Rais.
Mwambieni nchi ipo kwa mujibu ya katiba, na kila kitu ndani yake ni kwa mujibu wa katiba na bylaws, hata hizo huduma anazozitaja ni matokeo katika bylaws. Hizo huduma nyingi ambazo ni either mbovu au dhsifu ni sababu ya Katiba mbovu inayowajibisha baadhi ya makundi na kuwalinda wengine