Buruani: CHADEMA kila wakizunguka wanataka Katiba Mpya, Kuna mwananchi anakula Katiba hapa?

mshaurini apunguze akili za kulakula, au ajizube tundu kwa kdole ili apunguze kuharisha.
Mwambieni nchi ipo kwa mujibu ya katiba, na kila kitu ndani yake ni kwa mujibu wa katiba na bylaws, hata hizo huduma anazozitaja ni matokeo katika bylaws. Hizo huduma nyingi ambazo ni either mbovu au dhsifu ni sababu ya Katiba mbovu inayowajibisha baadhi ya makundi na kuwalinda wengine
 
Umeikosea sana JF kusema kweli,inakuaje unapost vitu kama hivi? Mods futa bhana
 
Kwani mnapotembea mnahubiri mama, mama, maama ....
Kuna mtu anayekula mama hapa?
Wanao raise kama hii ni wale vijana wajinga wasiojua umuhimu wa katiba kwenye kuuleta huo ugali mezani
 
 
Faris Burhani ni mpumbavu apuuzwe
 
Huyu anaye sema haya
Aliishia la ngapi kwanza ? Tusije tukamjibu mwizi wa mitihani na vyeti hapa tukapoteza muda
Vijana wako tayari kulamba mikunduuu ya mabosi wao ili wapate teuz
 
Huyu anaongea anachokiamini au anachohisi boss wake atafurahi?
 
 

Attachments

  • 1791051520452.png
    436.1 KB · Views: 7
  • 1788870522926.png
    657.8 KB · Views: 7
  • IMG-20260824-WA0073.jpg
    38.2 KB · Views: 7
 

Attachments

  • Cam.png
    336.1 KB · Views: 11
  • 410-e1582098328480.png
    511.8 KB · Views: 11
  • 337.png
    658.2 KB · Views: 7
  • Home-Page_800.png
    41.9 KB · Views: 9
Unakwama.Hiyo kwanza yako ni katiba ndiyo inatamka wananchi wakapige kura kuchagua viongozi.Ni katiba everywhere!Katiba!
 
Reactions: Lax
 

Attachments

  • 5838221-f62dd2d813a67d1ceafb058831f72b3a.mp4
    33.3 MB
Unakwama.Hiyo kwanza yako ni katiba ndiyo inatamka wananchi wakapige kura kuchagua viongozi.Ni katiba everywhere!Katiba!
Tatizo ni uelewa, ama Mimi ama wewe, hoja yangu ni kwamba ili uwe kiongozi wananchi ndio wanaokuchagua kwa mujibu wa katiba, kwa maana hiyo kwangu Mimi katiba ni Sheria mama au mkataba kati ya anayetaka uongozi na anayepaswa kumpa huyo muhitaji, ndio nikasema katiba haitoi madaraka Ila wananchi ndio hutoa madaraka kwa hao wanaotaka, ambao baada ya kuchaguliwa hugeuka na kuwa miungu watu na ndio sababu nikaambatanisha na ibara ya 37...(1) Ya katiba. Kwa hiyo basi katiba haichagui watu wa kuwaweka madarakani kwa niaba ya wananchi ila ni wananchi wanawaweka watu madarakani kwa mujibu wa katiba. Huo ndio uelewa wangu
 
Kipi kinatangulia?Wananchi au katiba?Nani alimpa urais Samia?
 
Kipi kinatangulia?Wananchi au katiba?Nani alimpa urais Samia?
Walitangulia wananchi, wakajiwekea utaratibu/mkataba wa kuongozwa ukaitwa katiba ambayo ni Sheria mama, na hii sio kwa nchi tu hata vikundi, timu/vilabu vya michezo nk. Baada ya hapo ndio viongozi wanachaguliwa. Jibu ni fupi tu kinachotangilia ni Wananchi.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…