Elections 2010 Burudani ndani ya roho, JK akijiliwaza

Elections 2010 Burudani ndani ya roho, JK akijiliwaza

kipipili

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
1,587
Reaction score
186
jklupembe2.jpg

hawa atakuwa amewaahidi ngoma na filimbi
 
Pole sana mheshimiwa umechoka kweli!!
 
du!! KAKA umenichekesha kweli. Sasa NGOMA NA FILIMBI watazifanyia nini? Hizo hata mm naweza kuwanunulia. Halafu kwa ulimbukeni wao lazima watampa kura. Masikiniii.hao hapo walipo usishangae hawajui kiti kinachoendelea serikalini wao wanajua kuwa maisha magumu ni haki yao na kupewa hizo t.shirt na kanga wanajiona kwanza wanabahati kweli kweli lol popooooo. !!!
 
kweli jamaa kachoka ,2005 alipata urais kwa ubwete ,mwaka huu hata kwa mbinde hapati.
kuna mtu alisema hapa aande speech ya kukabidhi madaraka .
 
Ila uheshimiwa nao taabu, hata ukitaka kulisakata rhumba, wapambe wanazungukia!
 
Ila uheshimiwa nao taabu, hata ukitaka kulisakata rhumba, wapambe wanazungukia!
Hao walikuwa wamekaa tayari kukabiliana na Aiseeeeee......kinachofuata si unakijua bwana.
 
Kama kuna mtandao unaongoza kukmkejeli JK basi JF inaongoza hakuna atakacho kifanya huyo bwana JF ni jema duuh!
 
Lifanywalo na Slaa safi ila Jk baya!!haya hii ndo JF
 
Lifanywalo na Slaa safi ila Jk baya!!haya hii ndo JF
Hayo maneno si ya JF, ni ya memba kama wewe! ukiona majority inachukia kila unachotenda utafikiria nini....................? UMEFULIA! na watu wakikuchoka ni balaa! Umestukia Dr Slaa sasa hv yuko juu? AMKA, UNAIBIWA NA MAFISADI!
 
Back
Top Bottom