Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
hawa atakuwa amewaahidi ngoma na filimbi
Hao walikuwa wamekaa tayari kukabiliana na Aiseeeeee......kinachofuata si unakijua bwana.Ila uheshimiwa nao taabu, hata ukitaka kulisakata rhumba, wapambe wanazungukia!
Hao walikuwa wamekaa tayari kukabiliana na Aiseeeeee......kinachofuata si unakijua bwana.
![]()
hawa atakuwa amewaahidi ngoma na filimbi[/QUOTE]
hapo kwe ye red mie hoi na mbavu zangu lol!:becky::becky::becky:
Du! haya sijui mambo ya Alaji alaji alaji alajii...au ya alamba tena hkaaam haaaaaam!! cnt gt his steps![]()
hawa atakuwa amewaahidi ngoma na filimbi
![]()
hawa atakuwa amewaahidi ngoma na filimbi
Kama kuna mtandao unaongoza kukmkejeli JK basi JF inaongoza hakuna atakacho kifanya huyo bwana JF ni jema duuh!
hawa atakuwa amewaahidi ngoma na filimbi
Lifanywalo na Slaa safi ila Jk baya!!haya hii ndo JF
Hayo maneno si ya JF, ni ya memba kama wewe! ukiona majority inachukia kila unachotenda utafikiria nini....................? UMEFULIA! na watu wakikuchoka ni balaa! Umestukia Dr Slaa sasa hv yuko juu? AMKA, UNAIBIWA NA MAFISADI!Lifanywalo na Slaa safi ila Jk baya!!haya hii ndo JF