mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Uzuri kule hata wakiumwa nchi nzima hutaona takwimu zao za maambukizi zikiongezeka sanasana watazikwa kwa ma-greda mchana na usiku kucha.Tuwape wiki 2
Jr[emoji769]
Mwaka 2019 WHO iliripoti nusu ya population ya Burundi wameathirika na Malaria,sasa hapo Covid ikigonga hodi ndo basi tena.
Bahati mbaya tu ni kwamba watu wa Kigoma/Ngara wajiandae kisaikolojia kuletewa Covid na watu wa Burundi.