Burundi leader Nkurunziza died of Covid-19 — diplomats

Burundi leader Nkurunziza died of Covid-19 — diplomats

du..... huyu mtoa taarifa noma sana!

"Like his close friend John Magufuli of Tanzania, Nkurunziza had refused to impose restrictions in the small and poor African country, allowing sporting events and mass political rallies to go ahead".
Sikusema mimi mkuu.
 
Full.View attachment 1476512
IMG_20200612_185733.jpeg
 
Watu wengine wanapata kura sio kwa sera, bali kwa alama wanazoacha mioyoni.

Yani wanawake wanaweza kumuangalia handsome wakasema huyu sera zake sikubaliani nazo, au hata sizijui, lakini nataka kumuona kwenye TV kila siku tu.

Na kwa hilo tu, nampa kura yangu.
Du hiyo kali
 
Sura yake na roho yake ni vitu viwili tofauti mara ya kwanza wakati simjui nilijua atakuwa na sura ngumu kumbe alikuwa mcharo balaa
 
Marais wa Afrika ni vichaa! Hata yule rais wa nchi ya asali na maziwa ambae yuko busy majukwaani kulaani matumizi ya barakoa ajiandae, covid-19 is coming for him sooner rather than later
 
Haujui kuwa katika suala la kufanya mapinduzi hata mkeo anaweza kuwa puppet wa kukuangamiza?
Daah hii conspiracy theory haina tofauti na kusubiria utajiri kutoka forever living/Q-net.
 
Back
Top Bottom