mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Wakina nani hao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakina nani hao?
Kama ilivyokuwa kwa mkwereWatu wengine wanapata kura sio kwa sera, bali kwa alama wanazoacha mioyoni.
Yani wanawake wanaweza kumuangalia handsome wakasema huyu sera zake sikubaliani nazo, au hata sizijui, lakini nataka kumuona kwenye TV kila siku tu.
Na kwa hilo tu, nampa kura yangu.
Mmhhh!Tuachane na kifo chake..
Ila the Guy was so sexy
Kweli mkuu, kuna mwenyekiti wa serikali ya mtaa alishinda kwa nguvu ya wanawake[emoji3][emoji3]Watu wengine wanapata kura sio kwa sera, bali kwa alama wanazoacha mioyoni.
Yani wanawake wanaweza kumuangalia handsome wakasema huyu sera zake sikubaliani nazo, au hata sizijui, lakini nataka kumuona kwenye TV kila siku tu.
Na kwa hilo tu, nampa kura yangu.
Mnakimbiliaga kureply kabla ya kusoma content ilimrad tu uwepo kwenye 1st reply.BBC ni madaktari?
[emoji23][emoji23]BBC Swahili ni kisima cha majungu.
Unakuta comment kama hii imetoka kwa mtizamaji mtiifu wa TBC.BBC Swahili ni kisima cha majungu.
Nguvu nyingi ndizo zimetumika kuficha chanzo cha kifo chake ila ni nguvu kidogo sana zimetumika kujua nini kimemuuwa.Sijaelewa kwanini inatumika nguvu kubwa kuaminisha ulimwengu kua alifariki kwa Corona, so what?? What the difference?
The guy is dead and we are next for God sake.
R.I.P NKURUNZINZA.