Burundi na rwanda nani yuko juu kijeshi Zikipigwa leo

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Hivi vi nchi ni vidogo ila majina yao duniani yamekuzwa kutokana na migogoro ya ndani sasa swali langu je wakizipiga Leo wao kwa wao bila taifa jingine kuingilia upande mmoja wapo Nani atapewa kipigo cha mbwa coco

Kagame Vs nkurunzinza who would win??

Sitaki povu Kama una povu pita kimyakimya
 
kwa military strength Rwanda wako vizuri kuliko burundi...
 
nazani ban haini ongezei wala kuni punguzia kitu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…