Burundi na rwanda nani yuko juu kijeshi Zikipigwa leo

Burundi na rwanda nani yuko juu kijeshi Zikipigwa leo

ni vigumu saana kwa jeneral kutaka kupindua nchi na akashindwa coz anakuwa anakomandi group kubwa la askari

sasa huyo niyombare alishindwa sababu hakupata support( yalikuwa mapinduzi ya wauni wachache tu wenye vimbelembele kama ilivyotokea gabon)

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwa sheria za kijeshi mapinduzi yakushindwa wanakula shaba dah maskini
 
Rwanda kijeshi kajipanga vizur sana kwa nchi kama burundi hata uganda anaiondoa bila wasi katika hizi nchi za east and central tz ndo wapo vizur hakuna congo rwanda zambia burundi kenya tanzania ndo baba yao

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna na hakuna vita Kati ya Burundi na Rwanda
Kikiwaka itakua vita ya Hutu na Tutsi basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwann kwani Katika hizo nchi mbili ni ipi yenye kabila kubwa zaidi mfano Watusi wako wengi Rwanda au Burundi
Wahutu wanawahamu Sana WA Tutsi sio Rwanda sio Burundi na wingi wao unachangia
Siku wajichanganye kuanzisha vita hutoona wanyarwanda na warundi wakivaa utaifa wao Bali watavaa ukabila wao wa Hutu na Tutsi basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahutu wanawahamu Sana WA Tutsi sio Rwanda sio Burundi na wingi wao unachangia
Siku wajichanganye kuanzisha vita hutoona wanyarwanda na warundi wakivaa utaifa wao Bali watavaa ukabila wao wa Hutu na Tutsi basi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu japo paragraph ya kwanza cjaielewa ambayo nadhani ndio imebeba ujumbe ila mwisho nimeelewa
 
Namaanisha Wahutu wanatamani kuondoa watutsi hasa pale Rwanda
Ndio siku kagame akapambana na Burundi ajue atakua anapambana na Wahutu waliokuwa ndani ya Rwanda na nje ya Rwanda sio warundi.

Sent using Jamii Forums mobile app
sio kweli wahutu wa rwanda hawana shida na slim hata kidogo japo bado kuna gape kati yao kwenye kushika sehemu nyeti

kama 75% pilot wa jeshi la slim ni wahutu pia kuna asilimia kubwa ya wahutu kwenye kikosi cha mizinga so kama wangekuwa wanamtaman nadhan wangekuwa wameshaenda kujichimbia kongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rwanda hawawezi kuipiga Burundi naendapo Rwanda watajaribu watapigwa maana France nae anawatafuta na kurunzinza sio mjinga kuendeleza chokochoko kunakitu nyuma pili wakipigana lazima vita igeuke na kua yakikabila mhutu huwezi kumuua mhutu mwenzake na mtutsi hawezi kumuua mtutsi wenzake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rwanda hawawezi kuipiga Burundi naendapo Rwanda watajaribu watapigwa maana France nae anawatafuta na kurunzinza sio mjinga kuendeleza chokochoko kunakitu nyuma pili wakipigana lazima vita igeuke na kua yakikabila mhutu huwezi kumuua mhutu mwenzake na mtutsi hawezi kumuua mtutsi wenzake

Sent using Jamii Forums mobile app
unajua chanzo cha ugomvi wa france na slim?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika vita lazima kuna washiriki wa nchi zingine
Hapo ungetuambia ni nani marafiki zao watakao wasaidia kwa hali na mali.

Na jibu tungelipata hapo

Sent from my SM using Tapatalk
 
Paul Kagame ni mwepesi kama karatasi kwa Pierre Nkurunziza ingawa wote wametokea msituni kukamata nchi. Kikinuka sisi wababe wa ukanda wa maziwa makuu tunaingilia kati na kuzifanya hizo nchi mbili kuwa mikoa yetu mipya. Yaani mkoa wa Rwanda na mkoa wa Burundi. Tunawakalia kijeshi mpaka wapate akili na ndio tutakuwa tumepanua mipaka yetu.
 
Burundi msiwachukulie poa kivile, wale ni sugu na wana roho za ujasiri hatari, endapo Rwanda atajaribu kuwachokoza basi matokeo yake yanaweza kuwa kinyume chake msije shangaa mkasikia Kigali imeshatekwa
 
Tz wapo vizur kwa kuvunja matofari siku za kuazimisha Uhuru?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapoongelea fitness ya jeshi ni pamoja na siraha, Techonology pamoja na Interligensia either kwa kutumia vyombo vya kisasa au physical invesigation, kwa pamoja ndiyo huitwa nguvu ya jeshi, sasa usishangae kuona wanavunja matofali, ile ni kuonyesha physical fitness kwasababu muda mwingine unaweza kupambana na adui bila siraha au kuzingirwa katika mazingira ambayo mtekaji hana siraha ya moto, bali ana siraha ya kawaida kama kisu au nondo, hiyo physical fitness ina apply hapo, so huwezi kusema una makomandoo imara ikiwa makomandoo wako wanajua kutumia siraha tu lakini hawawezi kucheza judo, na huwezi ukawa umecheza judo alafu ukawa mlaini laini, hapa naongelea body Strenght Plus technical do how,. kwahiyo maonyesho ya wale jamaa ni sahsihi kabisa kudhihirisha uimara wao.
 
Back
Top Bottom