Burundi na rwanda nani yuko juu kijeshi Zikipigwa leo

Ethiopia na Eritria walipopigana nani alishinda? Ukichukulia Eritria ni kainchi kadogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante Sana mkuu ila Kama ni maadui wa ndani mbona nkurunzinza pia anao na walitaka hata kumpindua kitu ambacho kwa slim hakikuwahi kutokea
 
Sheria za jf mambo ya inbox ukiyaleta publicly humu unakula ban
 
Asante Sana mkuu ila Kama ni maadui wa ndani mbona nkurunzinza pia anao na walitaka hata kumpindua kitu ambacho kwa slim hakikuwahi kutokea
Jaribio la mapinduzi ya Nkuru lilifanywa na PAKA, Rwanda hapajafanyika jaribio la mapinduzi bali yamefanyika majaribio kadhaa ya kuvamia Ikulu. Hayo hayatangazwi
 
A
Jaribio la mapinduzi ya Nkuru lilifanywa na PAKA, Rwanda hapajafanyika jaribio la mapinduzi bali yamefanyika majaribio kadhaa ya kuvamia Ikulu. Hayo hayatangazwi
Aiseee sikulijua hili kumbe nkurunzinza na paka haziivi
 
Wengi tunapenda Kagame aanguke tutatoa mercenary assistant if possible

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Reactions: Oii
Asante Sana mkuu ila Kama ni maadui wa ndani mbona nkurunzinza pia anao na walitaka hata kumpindua kitu ambacho kwa slim hakikuwahi kutokea
ni vigumu saana kwa jeneral kutaka kupindua nchi na akashindwa coz anakuwa anakomandi group kubwa la askari

sasa huyo niyombare alishindwa sababu hakupata support( yalikuwa mapinduzi ya wauni wachache tu wenye vimbelembele kama ilivyotokea gabon)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…