Na kwa sheria za kijeshi mapinduzi yakushindwa wanakula shaba dah maskinini vigumu saana kwa jeneral kutaka kupindua nchi na akashindwa coz anakuwa anakomandi group kubwa la askari
sasa huyo niyombare alishindwa sababu hakupata support( yalikuwa mapinduzi ya wauni wachache tu wenye vimbelembele kama ilivyotokea gabon)
Sent using Jamii Forums mobile app
huyo tayari kumbe ni ajuzaHa ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha we jamaaa wewe mtata Sana hebu anza na faizafoxy Kwanza
mara nyingi ni hivyo lkn sio kwa wote wanafanyiwa hivyo nadhan nyerere aliwai kuwasamehe watu kama hao na akawapa ulajiNa kwa sheria za kijeshi mapinduzi yakushindwa wanakula shaba dah maskini
Hakuna na hakuna vita Kati ya Burundi na RwandaRwanda kijeshi kajipanga vizur sana kwa nchi kama burundi hata uganda anaiondoa bila wasi katika hizi nchi za east and central tz ndo wapo vizur hakuna congo rwanda zambia burundi kenya tanzania ndo baba yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwann kwani Katika hizo nchi mbili ni ipi yenye kabila kubwa zaidi mfano Watusi wako wengi Rwanda au BurundiHakuna na hakuna vita Kati ya Burundi na Rwanda
Kikiwaka itakua vita ya Hutu na Tutsi basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahutu wanawahamu Sana WA Tutsi sio Rwanda sio Burundi na wingi wao unachangiaKwann kwani Katika hizo nchi mbili ni ipi yenye kabila kubwa zaidi mfano Watusi wako wengi Rwanda au Burundi
Mkuu japo paragraph ya kwanza cjaielewa ambayo nadhani ndio imebeba ujumbe ila mwisho nimeelewaWahutu wanawahamu Sana WA Tutsi sio Rwanda sio Burundi na wingi wao unachangia
Siku wajichanganye kuanzisha vita hutoona wanyarwanda na warundi wakivaa utaifa wao Bali watavaa ukabila wao wa Hutu na Tutsi basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Namaanisha Wahutu wanatamani kuondoa watutsi hasa pale RwandaMkuu japo paragraph ya kwanza cjaielewa ambayo nadhani ndio imebeba ujumbe ila mwisho nimeelewa
sio kweli wahutu wa rwanda hawana shida na slim hata kidogo japo bado kuna gape kati yao kwenye kushika sehemu nyetiNamaanisha Wahutu wanatamani kuondoa watutsi hasa pale Rwanda
Ndio siku kagame akapambana na Burundi ajue atakua anapambana na Wahutu waliokuwa ndani ya Rwanda na nje ya Rwanda sio warundi.
Sent using Jamii Forums mobile app
unajua chanzo cha ugomvi wa france na slim?Rwanda hawawezi kuipiga Burundi naendapo Rwanda watajaribu watapigwa maana France nae anawatafuta na kurunzinza sio mjinga kuendeleza chokochoko kunakitu nyuma pili wakipigana lazima vita igeuke na kua yakikabila mhutu huwezi kumuua mhutu mwenzake na mtutsi hawezi kumuua mtutsi wenzake
Sent using Jamii Forums mobile app
no slim anamzibia france kupata ushawishi
Unapoongelea fitness ya jeshi ni pamoja na siraha, Techonology pamoja na Interligensia either kwa kutumia vyombo vya kisasa au physical invesigation, kwa pamoja ndiyo huitwa nguvu ya jeshi, sasa usishangae kuona wanavunja matofali, ile ni kuonyesha physical fitness kwasababu muda mwingine unaweza kupambana na adui bila siraha au kuzingirwa katika mazingira ambayo mtekaji hana siraha ya moto, bali ana siraha ya kawaida kama kisu au nondo, hiyo physical fitness ina apply hapo, so huwezi kusema una makomandoo imara ikiwa makomandoo wako wanajua kutumia siraha tu lakini hawawezi kucheza judo, na huwezi ukawa umecheza judo alafu ukawa mlaini laini, hapa naongelea body Strenght Plus technical do how,. kwahiyo maonyesho ya wale jamaa ni sahsihi kabisa kudhihirisha uimara wao.