monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
fact aise maana miaka kama mitano hivi nyuma majambazi wa burundi watano walifanya jeshi la polisi kasulu kuomba msaada wa jeshiivi mtoa mada unawajua Warundi au unawaskia, hao sio binadamu Wa kawaida, hata matukio ya ujambazi Wa kutisha unaotokea Tz migodini na mikoa ya kaskazini na nyanda ya ziwa huwa wahuska wakuu ni hawa Warundi
Yes, PaKa ni asset wa US.no slim anamzibia france kupata ushawishi
slim anapewa support na us na uk
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanadhani niwajingaBurundi msiwachukulie poa kivile, wale ni sugu na wana roho za ujasiri hatari, endapo Rwanda atajaribu kuwachokoza basi matokeo yake yanaweza kuwa kinyume chake msije shangaa mkasikia Kigali imeshatekwa
Mimi nashanga sana mnalaisisha et Rwanda wanawapiga Burundi aise Burundi acha kabisa aise ni hatari.ivi mtoa mada unawajua Warundi au unawaskia, hao sio binadamu Wa kawaida, hata matukio ya ujambazi Wa kutisha unaotokea Tz migodini na mikoa ya kaskazini na nyanda ya ziwa huwa wahuska wakuu ni hawa Warundi
Hahahahaha aitawale Africa mashariki kivip yani funguka mkuuBurundi hana uwezo kabisa wa kupambana na Rwanda. Rwanda wamejipanga, Rais wao ameliimarisha sana jeshi lao kwa kulifanya la watu wachache, vijana zaidi, mbinu na sialaha za kisasa, nidhamu na utayari. Jamaa yuko smart sana. Wao wanaamini uimara wao ndio uwepo wao duniani, udhaifu wao ni kufutika kwao ni kama vile Israel na amekuwa karibu na akijifunza vigi kutoka Isreal kama taifa la watu wachache waliotaka kupotezwa ulimwenguni hatimaye ndio watawala wa dunia. Nilisikia pia wana share kwa kiasi kikubwa intelligency na Mossad. Kwa hiyo ni asset wa US na huku ni patner wa Israel na alivyokichwa unafikiri yuko vizuri kiasi gani? Tumeshasikia tetesi kuwa ndio anayesaidia U.S kuiba madini huko DRC. Na pia ukumbuke wayahudi ndio wafanya biashara wakubwa wa madini duniani. Kwa hiyo wanafaidika naye lazima afaidike nao. Ndio maana anawaza hata kuitawala Afrika Mashariki na kati yote
Nkurunzinza hana huo muda maana alipo kwenyewe ni wasiwasi muda wote kuuliwa au kupinduliwa, anatumia kuda mwingi kujificha na sio kuwa tayari. Baada ya miaka michache unafikiri wakipigana na Rwanda nini kitatokea?
Hivi Rais gani Afrika amewahi kwenda kuhutibia wanajeshi wa Marekani chuo cha mafunzo ya kijeshi U.S.A.? Na kama nani?
fact lkn hapo kwenye mbinu sina imani naeBurundi hana uwezo kabisa wa kupambana na Rwanda. Rwanda wamejipanga, Rais wao ameliimarisha sana jeshi lao kwa kulifanya la watu wachache, vijana zaidi, mbinu na sialaha za kisasa, nidhamu na utayari. Jamaa yuko smart sana. Wao wanaamini uimara wao ndio uwepo wao duniani, udhaifu wao ni kufutika kwao ni kama vile Israel na amekuwa karibu na akijifunza vigi kutoka Isreal kama taifa la watu wachache waliotaka kupotezwa ulimwenguni hatimaye ndio watawala wa dunia. Nilisikia pia wana share kwa kiasi kikubwa intelligency na Mossad. Kwa hiyo ni asset wa US na huku ni patner wa Israel na alivyokichwa unafikiri yuko vizuri kiasi gani? Tumeshasikia tetesi kuwa ndio anayesaidia U.S kuiba madini huko DRC. Na pia ukumbuke wayahudi ndio wafanya biashara wakubwa wa madini duniani. Kwa hiyo wanafaidika naye lazima afaidike nao. Ndio maana anawaza hata kuitawala Afrika Mashariki na kati yote
Nkurunzinza hana huo muda maana alipo kwenyewe ni wasiwasi muda wote kuuliwa au kupinduliwa, anatumia kuda mwingi kujificha na sio kuwa tayari. Baada ya miaka michache unafikiri wakipigana na Rwanda nini kitatokea?
Hivi Rais gani Afrika amewahi kwenda kuhutibia wanajeshi wa Marekani chuo cha mafunzo ya kijeshi U.S.A.? Na kama nani?
Safi we jamaa kichwa sadam Hussein alikua rafiki yao walimgeuka huyu wauturuki mwaka juzi nusura wamng'oe pili jeshi ni vifaa mfano jeshi la Kenya Kdf nadhani ndojeshi lenye vifaa vya kisasa kabisa kwa ukanda huu nimeona juzi wanafanya mazoezi na wanajeshi wa marekani jamaa wapo vizuri sana Lazima tuwe wakweli Rwanda na Burundi wakipigana maafa yatakua makubwa sana bado ukabila upo sana kwenye hizi nchi.fact lkn hapo kwenye mbinu sina imani nae
swala la silaha za kisasa kwa rdf pia sio kweli ni mwaka jana tu ndio kanunua BM-21 ambazo kwa nchi za sadc wanazo since miaka ya sabini
usa haibi madini congo ana miliki migodi ispokuwa anatumia njia kama za acacia kuiba
mossad walikuja kugundua hawana uwezo wa kupenya EA bila tanzania
kuhutubia wajeda wa us sio jambo kubwa kivile hawa usa walishawai kumtuma luten jeneral wao amletee tuzo mwakibolwa kama kamanda bora wa vikosi vya mizinga africa
kidogo jeshi la slim lina nidhamu kuliko la nkuru pia hawa usa na israel hawanaga rafiki wa kudumu rejea walivyo muuza savimbi
Sent using Jamii Forums mobile app
na itakuwa vita mbaya zaidi kwa africa na kuna uwezekano jamii moja ikafutika kabisa kwenye ukanda huu kama wakichapana kiukabilaSafi we jamaa kichwa sadam Hussein alikua rafiki yao walimgeuka huyu wauturuki mwaka juzi nusura wamng'oe pili jeshi ni vifaa mfano jeshi la Kenya Kdf nadhani ndojeshi lenye vifaa vya kisasa kabisa kwa ukanda huu nimeona juzi wanafanya mazoezi na wanajeshi wa marekani jamaa wapo vizuri sana Lazima tuwe wakweli Rwanda na Burundi wakipigana maafa yatakua makubwa sana bado ukabila upo sana kwenye hizi nchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninacho shanga nkurunzinza anapata wapi jeuri na kujiaminina itakuwa vita mbaya zaidi kwa africa na kuna uwezekano jamii moja ikafutika kabisa kwenye ukanda huu kama wakichapana kiukabila
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda waambie wewe maybe watakuelewa, hao Warundi sio mchezo mchezoMimi nashanga sana mnalaisisha et Rwanda wanawapiga Burundi aise Burundi acha kabisa aise ni hatari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini unawawazia yaliyo mabaya, wapigane ili ufurahi hujui kule kuna wazee,watoto na watu wasiojiweza na mainvestor kibao. nilikuwa nakuheshimu nimekuweka akibaMjinga kaharibu uzi wangu namimi nilisema Kama una povu pita kimyakimya
Hahahaha ilikuwa hatari kumbefact aise maana miaka kama mitano hivi nyuma majambazi wa burundi watano walifanya jeshi la polisi kasulu kuomba msaada wa jeshi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe nae propaganda nyiiingi.....au kwasababu Rwanda ndio kwenuBurundi hana uwezo kabisa wa kupambana na Rwanda. Rwanda wamejipanga, Rais wao ameliimarisha sana jeshi lao kwa kulifanya la watu wachache, vijana zaidi, mbinu na sialaha za kisasa, nidhamu na utayari. Jamaa yuko smart sana. Wao wanaamini uimara wao ndio uwepo wao duniani, udhaifu wao ni kufutika kwao ni kama vile Israel na amekuwa karibu na akijifunza vigi kutoka Isreal kama taifa la watu wachache waliotaka kupotezwa ulimwenguni hatimaye ndio watawala wa dunia. Nilisikia pia wana share kwa kiasi kikubwa intelligency na Mossad. Kwa hiyo ni asset wa US na huku ni patner wa Israel na alivyokichwa unafikiri yuko vizuri kiasi gani? Tumeshasikia tetesi kuwa ndio anayesaidia U.S kuiba madini huko DRC. Na pia ukumbuke wayahudi ndio wafanya biashara wakubwa wa madini duniani. Kwa hiyo wanafaidika naye lazima afaidike nao. Ndio maana anawaza hata kuitawala Afrika Mashariki na kati yote
Nkurunzinza hana huo muda maana alipo kwenyewe ni wasiwasi muda wote kuuliwa au kupinduliwa, anatumia kuda mwingi kujificha na sio kuwa tayari. Baada ya miaka michache unafikiri wakipigana na Rwanda nini kitatokea?
Hivi Rais gani Afrika amewahi kwenda kuhutibia wanajeshi wa Marekani chuo cha mafunzo ya kijeshi U.S.A.? Na kama nani?