figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Burundi waanzisha Mwenge wao, Waomba mafuta ya Mwenge wa Tanzania. Je, Watapata amani?
Nimeshuhudia Mwenge wa Burundi ukikagua shule ya Buraza Gitega ilojengwa 1974 hadi leo bati hazijabadilishwa.
Mwenge wa Burundi 🇧🇮 unamulika wazembe, wala rushwa na wanaotaka kupindua nchi🤣
Je, Tanzania ikiwapa Mafuta yalobaki kutoka kwenye mwenge, watafikia malengo?
Mwenge wameupa jina la Intwara rumuri. Haina uhusianobna Rumuli ya Bukoba huko Kagera