econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Hivi kwanini wasijiunge nasi hawa, tuunde shirikisho?
Wapo EAC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwanini wasijiunge nasi hawa, tuunde shirikisho?
Burundi waanzisha Mwenge wao, Waomba mafuta ya Mwenge wa Tanzania. Je, Watapata amani?
View attachment 2823246
Nimeshukudia Mwenge wa Burundi ukikagua shule ya Buraza Gitega ilojengwa 1974 hadi leo bati hasijabadilishwa.
Mwenge wa Burundi 🇧🇮 unamulika wazembe, wala rushwa na wanaotaka kupindua nchi🤣
Je, Tanzania ikiwapa Mafuta yalobaki kutoka kwenye mwenge, watafikia malengo?
Mwenge wameupa jina la Intwara rumuri. Haina uhusianobna Rumuli ya Bukoba huko Kagera
View attachment 2823237
Dah aise kuna drama zinaendelea ulimwenguni 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Hivi hawa walikuwa wana shoot movie au?Burundi waanzisha Mwenge wao, Waomba mafuta ya Mwenge wa Tanzania. Je, Watapata amani?