Burundi waanzisha Mwenge wao, Waomba mafuta ya Mwenge wa Tanzania. Je, Watapata amani?
View attachment 2823246
Nimeshukudia Mwenge wa Burundi ukikagua shule ya Buraza Gitega ilojengwa 1974 hadi leo bati hasijabadilishwa.
Mwenge wa Burundi 🇧🇮 unamulika wazembe, wala rushwa na wanaotaka kupindua nchi🤣
Je, Tanzania ikiwapa Mafuta yalobaki kutoka kwenye mwenge, watafikia malengo?
Mwenge wameupa jina la Intwara rumuri. Haina uhusianobna Rumuli ya Bukoba huko Kagera
View attachment 2823237