Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,755
- 1,939
Hebu fafanua . Ni Nani anayeingia Burundi kutwaa viwanja vha ndege na kuikaba FARDC ... na kuzuia kasi ya M23 kwenda Kinshasa?Tayari imepatikana hoja nzito kuingia Burundi kutwaa viwanja vyote vya ndege ili kuikaba FARDC jeshi la serikali la DR Congo isiweze kuitumia Burundi kuwa kichaka cha logistic ( yaani kutumika kama kitovu cha ugavi wa chakula, silaha, zana, askari wa serikali ya Congo, na kuzuia kasi ya M23 kwenda Kinshasa