Tetesi: Burundi, wanaosadikika kuwa wanyarwanda na wa Congo wenye asiri ya kinyarwanda, wakusanywa uwanjani

Hebu fafanua . Ni Nani anayeingia Burundi kutwaa viwanja vha ndege na kuikaba FARDC ... na kuzuia kasi ya M23 kwenda Kinshasa?
 

mbona Tanzania tulifanya hivyo hivyo mwaka 2014 ila jeshi la watutsi halikuja kutupiga na kutwaa viwanja vya ndege vya Tanzania ?
 
Naelewa hilo lakini na wewe jaribu kuelewa andiko langu inahitaji tena nikueleweshe mkuu?
Hajui wahutu ni 85% ya raia wote wa Burundi huku watutsi wakiwa 14% ya raia wote wa Burundi. Na si Burundi tu hata rwanda ni hivyo hivyo. Siku mambo yakiharibika watutsi watapata tabu sana ndani ya hizo nchi.

Tanzania inatakiwa kufunga mipaka kama ni msaada wa ukimbizi wasaidiwe huko huko kwenye nchi zao maana wanapewa hifadhi halafu wanawatelea wenyeji shida.
 
Hiyo Video Wanao Ongea Ni Wakongo Sio Warundi
Nahisi hao niwatu walio jitolea Kujiunga na M23 Huko Goma
 
Ni kweli lakini kufunga mpaka ujue nayoi ni shughuli pevu - inahusisha na mataifa mengine n.k. pia njia za porini zipo.
 
Mr. Slim atasikika akiwataka waachiwe
Na wataachiwa kweli.
Raisi wa Burundi alietangaza kuwa Rwanda ina mpango wa kuvamia Burundi, na kwamba yupo tayari, baada ya kuona kinachoendelea huko alikohamishia jeshi lake, ametangaza kwamba ameisha ongea na Rwanda na huo mpango haupo tena!!!πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Takwimu zako na mawazo haviendani.

Uzuri hamjui heka heka za vita, mnahisi ni disco.
 
Waliku wahamiaji Haram sio raia
Si kweli. Wengi wao waliokimbia juzi.Hawana hata wiki. Baada ya Goma kuangukia mikononi mwa M23, walianza kunyanyaswa, alioweza kukimbia, ndo hapo walipofikia. Mbona wanyarwanda wapo na hawajaguswa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…