Burundi yaongeza wanajeshi Kivu Kusini

Burundi yaongeza wanajeshi Kivu Kusini

Burundi ni bora ingesubiri jeshi la Jumuia ya Afrika Mashariki kwenda kusuluhisha mgogoro na kama fldr na red tabara watajifanya vidume tutatoa Dozi nzito ya mwezi mzima.
 
Halafu anakuambia yy ni mTZ ila anaijua rwanda sababu anaendesha malori
Tatizo lake anafikiri watu ni wajinga. Halafu watutsi wa Rwanda walivyo wajinga wote wanatumia mbinu hiyo hiyo moja.

Wakiambiwa wao ni watutsi wa Rwanda wanakana. Mbinu zao ni zilezile wakati viashiria vyote vinaonyesha wao si watanzania.

Hakuna mtanzania mwenye mihemuko kama yake. Tangu lini mtanzania ikitajwa ukatili wa Rwanda anakuwa na mhemuko wa kuitetea hata kama akibanwa kwa hoja?
 
Usifikiri watu ni wajinga.

Wewe siyo mtanzania, periodt!
Wewe Mwarabu una utanzania gani mpaka uhoji mimi utanzania wangu?!ninyi ndio maana Trump na Netanyahu anawashughulikia.
 
Aisee hili nililisema kuna jamaa lilibweka vibaya mno ,nikamwambia Mrundi ni mpiganaji mzuri sana na kona zote hizo nae anazijua lakini pia hana maadui wa ndani wa kivile kama ilivyo kwa Pk,

Ambapo kwa vyovyote vile Chigali ikianza kupigwa direct wataibuka watu wengine hatutajua wametoka wapi kumshindilia vizuri Pk
Idadi kubwa ya raia wa Burundi na rwanda wengi ni wahutu na Burundi inaongozwa na mhutu hivyo hata kukitokea machafuko ya ndani watutsi ambao ni wachache wanakalishwa tu. Kwa rwanda kikinuka watutsi wamekwisha maana wameifanya rwanda kuwa nchi ya watutsi licha ya wao kuwa wachache sana.

Viongozi wa serikali ya rwanda idadi kubwa kama sio wote ni watutsi. Kuanzia ikulu, jeshini, bungeni na hata polisi. Unadhani wahutu wa rwanda wanafurahia hilo. Wahutu ni 85% ya wananchi wote halafu watawaliwe na watutsi ambao ni 14% tu kati ya wananchi wote halafu nchi iwe na amani. Kwa ufupi rwanda ni nchi ambayo sio salama kabisa. Afadhali ya Burundi.
 
Kichekesho! Kama congo kubwa inanyukwa na rwanda, burundi ni kitu gani kwa rwanda? Kagame anaona burundi ni underdog tu akiamua anaifyagia asubuhi tu
Km ni ukubwa Rwanda ina ukubwa gani, acheni kumkuza hilo jinga PK ameshapigana vita ya wazi wapi?
 
Nchi karibu zote za SADCC zinaondoa majeshi yao Congo, wamegundua dereva wa Uber kutoka Brussels mkabila Tshesekedi ni wa hovyo kuliko Mobutu, na wananchi wa Goma na Kivu wameanza kushirikiana na M23 kuelekea Kinshasa kumuondoa Tshesekedi, na vijana wajinga na wakabila wa JF, Tshesekedi Ana nafasi za kazi mnakaribishwa
 
Back
Top Bottom