RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
11 Februari 2025
Fizi, Kivu ya Kusini
DR Congo
Mtazamo wa Raia wa Fizi Centre kwa Ujio wa Makamu wa Gavana wa jimbo la Kivu ya Kusini makao makuu ya Fizi
View: https://m.youtube.com/watch?v=VhS62CE62oQ
Mkuu wanaposema wanahangaika na mavita ya wanyarwanda Wanamanisha nini?. Huyo mzungumzaji wa kwanza.