Burundi yaongeza wanajeshi Kivu Kusini

Burundi yaongeza wanajeshi Kivu Kusini

sasa kama rwanda inaitesa congo, unataka kusema burundi nayo inaweza kuitesa rwanda? Rwanda inaona burundi si lolote si chochote kama tu imeweza kuitesa congo iliyo kubwa kuliko burundi
Unajidanganya sanaaa mkuu
 
Nchi karibu zote za SADCC zinaondoa majeshi yao Congo, wamegundua dereva wa Uber kutoka Brussels mkabila Tshesekedi ni wa hovyo kuliko Mobutu, na wananchi wa Goma na Kivu wameanza kushirikiana na M23 kuelekea Kinshasa kumuondoa Tshesekedi, na vijana wajinga na wakabila wa JF, Tshesekedi Ana nafasi za kazi mnakaribishwa
Mtusi mwingine huyu hapa
 
Kichekesho! Kama congo kubwa inanyukwa na rwanda, burundi ni kitu gani kwa rwanda? Kagame anaona burundi ni underdog tu akiamua anaifyagia asubuhi tu
DRC ina jeshi dhaifu kwa sababu iliwekewa vikwazo vya kununua silaha, kwa hiyo ina zana za kijeshi duni sana.
 
Ndio maana nawaambia Watutsi wa humu, ni bora Rwanda ipigane total war na DRC kuliko ipigane na Burundi. Total war na DRC hapo Kagame anaweza fanya mobilization ya raia, ila dhidi ya Burundi atafeli. Huwezi miaka yote kuwa unawaambia Wahutu ni mbuzi tu hawana lolote na jeshini huwapokei, ghafla inatokea vita dhidi ya Burundi ambayo inaongozwa na Wahutu then hapo ndipo unakumbuka mchango wa Wahutu wa Rwanda wakapigane na Wahutu wenzao wa Burundi.

Bila mobilization Rwanda haiipigi Burundi. Na population ya Watutsi wa Rwanda ikijiunga jeshini peke yake kupigana na Burundi, population ya Wahutu itakaa pembeni au itaungana na wenzao wa Burundi. Yaleyale ya majeshi ya Tanzania kushangiliwa na wananchi wa Uganda vitani.

Rwanda ya Kagame inahaha hapo Congo kuwamaliza FDRL na Wahutu wakimbizi inashindwa. Wakati waasi wa Red Tabala ambao Rwanda iliwafanyia recruitment kutoka kambi za wakimbizi wa Burundi waliopo Rwanda wamefifia nguvu.

Kwanza Red Tabala ilianza kama pingamizi la Nkurunziza ambaye alistaafu na uchaguzi mkuu ukafanyika akachaguliwa Ndayishimiye, hivyo hoja yao mfu haipo tena.

Pili mkuu wao alikamatwa Congo na jeshi la Burundi.

Tatu Burundi iliipiga mkwara Rwanda iache kutoa logistical support, maana Burundi ikiwasaidia FDRL patachimbika. Rwanda ikanywea.

Ikitokea vita haraka tu Burundi inawavuta FDRL inaungana nao, alafu 80%+ ya raia wa Rwanda ni Wahutu na Twa hawamtaki Kagame.
Huku upande wa Burundi zaidi ya 80% ya raia ni Wahutu na Rais wao Mhutu na majeshi yao ya Wahutu. Red Tabala hawana mchango wa maana wataipa Rwanda, labda Uganda hii ya Museveni na mwanae MK wakamsaidie mjomba wao Kagame.
Jeshi la Rwanda lina nguvu kuliko la Burundi hata kizana na kibajeti.....
 
DRC ina jeshi dhaifu kwa sababu iliwekewa vikwazo vya kununua silaha, kwa hiyo ina zana za kijeshi duni sana.
Mwanajeshi akose hata nguo, akose viatu, akose mafunzo, usingizie vikwazo? Je, kama unajua umewekewa vikwazo, unatunishaje msuri wakati unajua uwezo wa vita huna? Kama wasi wanapata, serikali inashindwaje! Ina maana waasi wana akili kuzidi serikali sasa.
Nchi wazito wanakula raha ulaya na wapi mari wanajirundikia huko, mwanajeshi analipwa dola 150 au mia mbili, anakaa miezi hadi 6 hajapokea mshahara, hata kibaka akiiba gwanda, anautesa mji mzima kuwa yeye ni mwanajeshi, mtu ana miaka 70 lakini mwanajeshi,hilo jeshi au sungusungu!!! Uongozi ndo una tatizo pahala furani.
 
DRC ina jeshi dhaifu kwa sababu iliwekewa vikwazo vya kununua silaha, kwa hiyo ina zana za kijeshi duni sana.
DRC wanapigana vita vya kipumbavu , hakuna motivation yeyote zaidi ya ukabila, M23 wana kila sababu ni haki na usalama wao
 
CCM nayo muda si mrefu itatolewa kwenye mamlaka.

System imeshaona kuwa imefanya makosa makubwa kuwalea na mbeleni ndiyo wameona upuuzi wao waliyokuwa wanaufanya.

Kikubwa alikuwa anasubiriwa mpinzani anayejielewa akabidhiwe nchi.

Baada ya hapo kila kitu kitakaa sawa! Na vita vya Congo kadri vinavyozidi kuendelea na hao Tutsi wanazidi kuonyesha rangi zao halisi.

Watashughulikiwa hapa hapa Tz.
Wewe focus ugaidi wako na hamas
 
Burundi ikiamua kuingia vitani na Rwanda inawaleta FDRL ambao huwa inawafundisha na kuwajumuisha vitani, na wao ni wengi na wana impact kubwa kuliko waasi wa Burundi watakaoungwa mkono na Rwanda.

Burundi ni wapiganaji wazuri, hata majambazi wao wamekubuhu achana na majambazi uchwara ya Tanzania yanayoishi Sinza. Jambazi mmoja wa Burundi anaendesha mji mzima unateseka kwa miezi kadhaa.

Hamna kitu Rwanda wanafanya alafu Burundi hawawezi pale DRC. Kupigana misituni ndio jadi yao. Tofauti yao ni silaha kidogo Rwanda wanazo nyingi ila vita ikitokea hamna mshindi pale. Na Rwanda haiwezi jichanganya.
Hizi chai endelea kuwalisha wenzako wasiojielewa huku, pole
 
Mwanajeshi akose hata nguo, akose viatu, akose mafunzo, usingizie vikwazo? Je, kama unajua umewekewa vikwazo, unatunishaje msuri wakati unajua uwezo wa vita huna? Kama wasi wanapata, serikali inashindwaje! Ina maana waasi wana akili kuzidi serikali sasa.
Nchi wazito wanakula raha ulaya na wapi mari wanajirundikia huko, mwanajeshi analipwa dola 150 au mia mbili, anakaa miezi hadi 6 hajapokea mshahara, hata kibaka akiiba gwanda, anautesa mji mzima kuwa yeye ni mwanajeshi, mtu ana miaka 70 lakini mwanajeshi,hilo jeshi au sungusungu!!! Uongozi ndo una tatizo pahala furani.
Unajifunza ulevi? Hao wasio na uniform ni wanajeshi wa DRC au ni wanamgambo wanaowaunga mkono wanajeshi wa DRC?

Kumbuka kula kabla ya kunywa pombe!
 
Kwa hiyo tuseme Rwanda na Burundi wanapigana vita ya nje
Mmoja angepiga mji mkuu wa mwenzie kiumane
Hawa watoto wanataka washikishwe adabu wote
 
Enjoy uhuru tz,kule kwenu uhuru huu hakuna
MTZ 💯 hapa just FYI, na Kagame aendelee kuwanyoosha wakabila nyie na mawazo yenu ya kijima, mmepeleka sumu zenu Congo ndio maana matatizo hayaishi, na Uber driver Tshesekedi ana IQ ndogo sana kuelewa mchawi wa Congo
 

Tanzania: kufungwa kwa kambi kumecheleweshwa kwa mwaka mmoja​

Tanzania: kufungwa kwa kambi kumecheleweshwa kwa mwaka mmoja
6 Febuari 2025PCN

Wakimbizi wa Burundi wapata mwaka mwingine kabla ya kambi zao kufungwa. Tangazo hilo lilitolewa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Tanzania inayohusika na wakimbizi baada ya kutembelea kambi mbili kubwa za wakimbizi wa Burundi zilizopo kaskazini-magharibi mwa Tanzania.


HABARI SOS Médias Burundi
Ujumbe wa ngazi ya juu kutoka UNHCR na serikali ya Tanzania ulitembelea kambi za wakimbizi wa Burundi wiki iliyopita.

Ziara hiyo ilifanyika Jumatatu Januari 27 na Jumanne Januari 28 mtawalia katika kambi za Nyarugusu na Nduta zilizopo mkoani Kigoma au kaskazini magharibi mwa nchi.

Kulingana na takwimu za UNHCR kufikia Desemba 31, 2024, nchi hii ina zaidi ya Warundi 104,000. Wengi wao walikimbia mzozo wa 2015 kufuatia mamlaka mengine yenye utata ya hayati Rais Pierre Nkurunziza mwaka huo huo

Wawakilishi wa UNHCR katika wilaya za Kasulu na Kibondo ambako kambi hizi mbili zina makao yake, waliwahakikishia wakimbizi kwamba ifikapo 2025, hali haitakuwa mbaya zaidi.

“Maombi yako yamejibiwa. Tume ya pande tatu iliongeza muda wa zoezi la kuwarejesha nyumbani kwa hiari kwa mwaka mmoja. Baada ya kipindi hiki, tutaweza kupanda gia na pengine kufunga kambi,” walitangaza kwa zamu.
c0a462bf-c584-4707-ba73-6c550c287be9.jpeg

Mkimbizi wa Burundi akiwaandalia watoto wake chakula katika kambi ya Nduta nchini Tanzania (SOS Médias Burundi)

Hii ni moja ya hitimisho la mkutano wa pande tatu kati ya Tanzania, Burundi na UNHCR uliofanyika Bujumbura, mji mkuu wa kiuchumi wa Burundi, mwishoni mwa Desemba 2024.

Mkutano ambao pia ulipendekeza kuwa Burundi ijiandae kupokea wakimbizi wasiopungua elfu tatu kwa mwezi.

Wakimbizi hao wanapumua. Pia walishangilia na walionekana kutopendezwa na kilichofuata, kulingana na ripota wa SOS Médias Burundi.

“Asante Mungu hata hivyo, tunaweza kusherehekea siku hii ya kuzaliwa tena. Tunaendelea kuiomba jumuiya ya kimataifa kufuatilia kwa karibu hali hiyo na kuzishawishi mamlaka za Tanzania ili kuachana na mpango huu mbaya na usio wa kibinadamu wa kufunga kambi hizo,” anajibu kiongozi wa jumuiya hiyo kutoka zone 5 ya kambi ya Nduta.

Sudi Mwakibasi alipumzika…
Katika eneo la zone 10 kwenye kambi ya Nyarugusu na pia zone 5 kwenye kambi ya Nduta ambako wakimbizi wa Burundi walikuwa wamekusanyika, Sudi Mwakibasi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani anayehusika na masuala ya wakimbizi, anayejulikana kwa kauli zake za kiberiti kwa wakimbizi wa Burundi, kwa mara moja, alionyeshwa huruma kama ilivyoonyeshwa na Warundi.

“Anajulikana kwa lugha yake kali. Lakini cha ajabu alijigeuza kuwa mzazi akitoa somo na ushauri jambo ambalo lilionekana si la kawaida kwetu,” anasema mkimbizi kutoka kambi ya Nduta aliyesikiliza hotuba yake.
4c2a3f91-15b1-4ecd-84af-0617aa37051c.jpeg

Wakimbizi wa Burundi wakiwa katika mkutano na mamlaka ya Tanzania katika kambi ya Nyarugusu (SOS Médias Burundi)

Sudi Mwakibasi alipendekeza kwamba wazazi wawasomeshe watoto wao vizuri, wawajengee maadili ya kupenda nchi na kazi huku wakionyesha mifano mizuri.
“Vizazi hivi vijavyo ndivyo vitajenga nchi yako. Epuka kuwahimiza kufanya vitendo vya uhalifu. Na zaidi ya yote msikubali kuwa wanafanya shughuli za kuyumbisha nchi yenu,” alishauri.
Mwaka huu huenda ukawa na shughuli nyingi kulingana na mpango uliozinduliwa na ujumbe huu huko Nyarugusu na Nduta.

“Kutakuwa na ziara nchini Burundi za wakimbizi kutoka Tanzania na wanaorejea kutoka Burundi (nendeni mkaone, mje mseme), mechi za soka kati ya makundi hayo mawili ya Makamba (Burundi) na Kibondo (Tanzania) pamoja na vikao vya uhamasishaji juu ya kurudi kwa hiari,” wajumbe walisisitiza.

Hata kama wazo la kufanya mahojiano ya mtu binafsi ili kubaini nia iliyomsukuma kila mkimbizi kutoroka Burundi bado litaendelea kudumishwa, ujumbe huo haujafichua ni lini zoezi hili litafanyika. Jambo ambalo linawafanya wakimbizi wa Burundi kuamini kuwa Umoja wa Mataifa umeishawishi Tanzania kuwaachia huru wale walioomba hifadhi katika nchi hii kwa mujibu wa Mkataba wa Geneva wa 1951 unaohusiana na ulinzi wa wakimbizi.
Tanzania inasalia kuwa nchi inayohifadhi wakimbizi wengi zaidi wa Burundi katika ukanda huo.
 
Unajua lakini Tshisekedi ni mtoto wa nani? Huu uongozi wa kurithi nao shida.
Then, watu walishaisha mapolini miaka nenda rudi, washakuwa kama wanyama, unaanza kuwaelekeza cha kufanya.
Uongozi wa kurithi si tatizo kwani umetamalaki ukanda huu wote kuanzia Tz, Rwanda, Uganda,...
tunatofautiana kidogo kwenye kurithishana. Mfano angalia yule "mfalme" wa Uganda na kijana wake Muhoozi. Tanzania kuna ufalme wa CCM unaotoa wafalme kila baada ya muda flani, lkn pia na hoa wafalme hupatikana kwa namna ya kujuana kama ndugu kigogo flani, anatoka kambi flani, huyu ni mwenzenu,.......
 
Back
Top Bottom