Burundi yaongeza wanajeshi Kivu Kusini

Burundi yaongeza wanajeshi Kivu Kusini

MTZ 💯 hapa just FYI, na Kagame aendelee kuwanyoosha wakabila nyie na mawazo yenu ya kijima, mmepeleka sumu zenu Congo ndio maana matatizo hayaishi, na Uber driver Tshesekedi ana IQ ndogo sana kuelewa mchawi wa Congo
Wewe mtusi,congo pana vurugu kabla hata pk hajajua kusoma na kuandika,yeye kaja kuwa toilet paper tu kwa kutumia watutsi kupora congo
 
Hii ni by the way. Kwa uelewa wangu neno kabila ni kundi la watu wenye lugha na utamaduni unaofanana.
Ukienda Rwanda na Burundi utakuta jamii yenye sifa hizo. Je ñi kwanini wanajitanabaisha kuwa na kabila zaidi ya 1?
 
Uongozi wa kurithi si tatizo kwani umetamalaki ukanda huu wote kuanzia Tz, Rwanda, Uganda,...
tunatofautiana kidogo kwenye kurithishana. Mfano angalia yule "mfalme" wa Uganda na kijana wake Muhoozi. Tanzania kuna ufalme wa CCM unaotoa wafalme kila baada ya muda flani, lkn pia na hoa wafalme hupatikana kwa namna ya kujuana kama ndugu kigogo flani, anatoka kambi flani, huyu ni mwenzenu,.......
Ndo hilo tatizo linalozikumba baadhi ya nchi za Afrika. Na wabunge wakifika huko,kukemea yaliyopo hawawezi,wanachojali ni pesa tu. Nadhani bunge la South Afrika lilitakiwa liwe mfano. Kiongozi yeyote anawatumikia wananchi, wasijisahau. Ila ulevi wa madaraka sasa ndo hivo
 
Hii ni by the way. Kwa uelewa wangu neno kabila ni kundi la watu wenye lugha na utamaduni unaofanana.
Ukienda Rwanda na Burundi utakuta jamii yenye sifa hizo. Je ñi kwanini wanajitanabaisha kuwa na kabila zaidi ya 1?
Fuatilia kuanzia ujio wa wakoloni. Makabila hayo kwao yalikuja kama tabaka tu. Badhi wakaaminishwa ndo wana uwezo na akili kuwatawala wenzao. Baada ya muda na wao wakaona wanaotaka kuwatawala hawawazidi chochote.
Kagame jana alisema: na ukweli ndo ulivyo. Kinachoendelea ni vita ya ukabila. Rais wa Burundi alionya kuwa baada ya Congo likahamia kwake. Nchi moja kiongozi ni mhutu, hawataki watutsi. Unategemea jirani yake amchekee? Nchi nyingine kiongozi ni mtutsi. Unadhani yule mhutu anafurahia?! Hatimae ni nchi hizo mbili Iongozwe na kabila moja. Mwenye kifua sasa ndo atawin
 
Pale kuna kabila 1 kwakweli. Wanazungumza lugha moja, mila zile zile.
 
MTZ 💯 hapa just FYI, na Kagame aendelee kuwanyoosha wakabila nyie na mawazo yenu ya kijima, mmepeleka sumu zenu Congo ndio maana matatizo hayaishi, na Uber driver Tshesekedi ana IQ ndogo sana kuelewa mchawi wa Congo
HIvi kwanini Tshisekedi na Ndayishimiye wa Burudi hawakuja kwenye meeting ya wakuu wa EAC na SADC? kuhudhuria kwa online comference haikuwa maazimio yao. Itakuwa ni dharau kwa wakuu wenzao au nikukosa la kusema mbele ya viongozi wenzao?
 
Wakabila tuu, viongozi wa SADCC wameanza kuwashtukia ndio maana wameanza kutoa majeshi yao Congo
 
Burundi asipoacha kiherehere PK ataipa kichapo direct kutokea Kigali tena mchana kweupe.
Kwamba Kagame ndo lidude kuliko Burundi siyo?? Msimkuze sana Kagame. Ni wa kawaida sana na mwizi mwizi wa rasilimali za Congo na mkabila fulani hivi mwenye roho ya madaraka na mwoga wa kufa.
 
Wakabila tuu, viongozi wa SADCC wameanza kuwashtukia ndio maana wameanza kutoa majeshi yao Congo
Kuna crip nimeona badala ya rais wa burudi kuja kwenye kikao cha marais wa SADC na EAC yeye alikwenda US nakuhudhuria siku ya kuiombea USA ndani ya Copital Hill, inafikirisha sana
 
Tutatoa dozi nzito mwezi mzima?

Naona umeshindwa kujificha sasa mrwanda.

Sasa ulikuwa unakataa nini uraia wako?

Richard
Mkuu, mie ni mtanganyika halisi nilizaliwa Tanga huko ndanindani ni Tanga-line.

Ila kutokana na kutembea sana katika Dunia hii (kimasomo na kikazi) hii nimeweza kuwa na marafiki wengi sana na kwa Afrika hapo Kinshasa, Kigali na Bujumbura ni moja ya sehemu ambazo nazihusudu mno barani Afrika.

Isitoshe, baadhi ya marafiki zangu wengi kwa bahati tumekua wote na kusoma wote hapahapa Tanganyika na kumbe wengi wazazi wao walikuwa ni wakimbizi wa Rwanda, Burundi na Congo DRC hivyo na wameitumia uzuri nafasi walopewa kusoma khasa hadi UDSM na sasa wengi wamerudi hukohuko kwao.

Niliwahi kusema humu kuwa mimi kwa macho yangu nikiwa mdogo nimewaona mazee PK na M7 wakiwa kwenye harakati zao khasa mzee M7 akiwa UDSM anasoma lakini huku pembeni akiandika makabrasha ya harakati za kuichukua Kampala na kumuondoa Milton Obote.

Hivyo maoni yangu kuhusu maeneo hayo hulalia kwenye hali niionayo kwa wakati huu.
 
Vita vya Bukavu: Kwa Nini Burundi Inaweka Kila Kitu Kwenye Mstari Dhidi Ya M23

View: https://m.youtube.com/watch?v=_v6DG826tDc

Mwezi September mwaka 2024 Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC na Rais Evariste Ndayishimiye wa Burundi waliafikiana majeshi ya Burundi kuweka askari ndani ya Mashariki ya Kongo kushirikiana na vikundi vya Wazalendo vilivyo na ushirikiano na Wahutu wa FDLR (Forces Démocratiques de Libération du Rwanda) kuzuia M23 wasiweze kuchukua jimbo la Kivu ya Kaskazini hivyo kuondoa tishio la M23 kwa utawala wa Kinshasa wa Felix Tshisekedi.

Lakini vikosi vya Burundi vilielemewa na kurudi nyuma hadi Jimbo la Kivu ya Kusini na kujichimbia mji wa Bukavu usinyakuliwe na M23

Stratejia ya kuweka majeshi ya Burundi ndani ya mipaka ya nchi huru ya DR Congo, ni kuondoa uwezekano wa kundi la RED TABARA waasi wa Burundi wasiweze kujipenyeza kupitia Uvira kuondoa utawala wa Rais Evariste Ndayishimiye wa Burundi.

Ikiwa M23 wataweza kuutwa mji wa Bukavu, wataweza kwa jiwe moja kuwa tishio kwa Kinshasa na pia kwa Burundi kwa wakati mmoja.
 
TOKA MAKTABA :

16 June 2023

'Tunaweza kumaliza mwezi mmoja bila kuona mtu anauwa mwengine' - Rais wa Burundi

View: https://m.youtube.com/watch?v=p0lQ02jmXOg

Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amesema kuwa Afrika Mashariki Ina maslahi zaidi ya usalama kuliko vikosi vya walinda amani wa umoja wa mataifa katika nchi ya Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo.Ndayishimiye ambaye ni mwenyekiti ya jumuiya ya EAC amesema watafanya kila juhudi kurejesha Amani na utawala wa Sheria nchini DRC.Katika mahojiano na BBC mwandishi wetu Dinah Gahamanyi alimuuliza kwanza hali ilivyo kwa Sasa akilinganisha na miaka 3 alipochukua uongozi.
Source : BBC Swahili
 
10 February 2025
FIZI, SUD KIVU

General William Amuri Yakutumba akizungumza jinsi ya kukabiliana na M23

View: https://m.youtube.com/watch?v=D-7gDpkryCU
General William Amuri Yakutumba asema hatutaki rais Felix Tshisekedi kufanya mazungumzo na M23, General William Amuri Yakutumba asisitiza yeye kama kamanda wa Wazalendo wapo tayari kupigana na M23 ...

More info :
Taarifa ya UN Umoja wa Mataifa

WILLIAM AMURI YAKUTUMBA mara kwa mara amekuwa akitumia vibaya mamlaka yake katika majukumu ya uongozi wa kijeshi ndani ya wanamgambo wa MAI MAI YAKUTUMBA ili kudhoofisha amani na usalama wa DRC, ikiwa ni pamoja na biashara haramu na unyonyaji wa maliasili, na tume ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini DRC, ikiwa ni pamoja na ubakaji, ubakaji mkubwa na aina nyingine za unyanyasaji wa kijinsia. Alipanga au kushiriki katika kupanga mashambulizi kadhaa katika eneo la DRC, katika majimbo ya Kivu Kusini na Kaskazini. Kufikia mwaka wa 2021, muungano wa MAI MAI ulihusika katika mapigano na kundi lenye silaha la Twirwaneho, na kushambulia raia wa Banyamulenge.

Mashambulizi kadhaa yalizinduliwa katika vijiji vilivyo karibu na Bibokoboko mnamo Oktoba 2021, na kuua takriban raia 30 wa Banyamulenge, wakiwemo wanawake na watoto, na kusababisha watu wengi kuyahama makazi yao.

Mwaka 2021 wanamgambo wa MAI MAI YAKUTUMBA walichukua udhibiti wa migodi ya dhahabu ya Makungu, Kuwa na Mitondo iliyopo karibu na mji wa Misisi, na uzalishaji na biashara ya dhahabu inayotokana na migodi hiyo.

Mnamo Februari 2023, WILLIAM AMURI YAKUTUMBA alifukuzwa kutoka kwa uongozi wa CNPSC kwa sababu ya kutokubaliana na Sarakasi ya Kisiasa ya Muungano, alipoamua kwa upande mmoja kuhamia Kivu Kaskazini na kupigana na M23.

Jina lake linaonekana katika ripoti ya mwisho ya 2023 ya Kundi la Wataalamu la Umoja wa Mataifa (tazama Kiambatisho 73: Athari za mgogoro wa M23 kwenye Kivu Kusini).
 
Back
Top Bottom