Bus aina ya Eicher zinauzwa bei gani?

Msuya Jr.

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2013
Posts
1,691
Reaction score
899
Wadau nisaidieni hivi hizi bus aina ya eicher zinauzwa bei gani??
 
Ndg ngoja niwe muwazi kilicho niuta kwa hizo Bus nisingependa wajasilia mali ndg wa damu ya Kitanzania kisiwatokee kama una mpango wa kununua huo ugonjwa wa moyo naomba uwaulize walioteseka na hayo mabus,sikupi jibu la kiasi gani zinauzwa ili mikunusuru la ukijitia wazimu kanunue
 
nasikia zinauzwa milioni 45 ila kwa sababu hivi vitu vinatoka nje bei inaweza kubadilika kutokana na kupanda na kushuka kwa thamani ya shilingi
 
kiukweli eicher sio gari kabisa kama unataka kufanya biashara ya daladala kuna dcm halichoki
 
kiukweli eicher sio gari kabisa kama unataka kufanya biashara ya daladala kuna dcm halichoki
Je TATA Marcopolo?

Anyway, niliwahi kusikia unalipa upfront Tshs 32Mil then unawepelekea Tshs 2.1Mil kila mwezi x 18months.
 
Eicher ni Kichefuchefu ukikaa nalo mwaka shukuru zipo kama Bajaj au Boda boda Sun Lag.

Acha kuwadanganya watu na hizo zikizoko barabarani ziinatembea kila siku nyingi tu za Islam mwaka wq nne huu anapiga ruti ya dar moro dar iringa na huu ndo ujinga mnaodanganyana Watz na kulishana sumu hata na kwenye magari mengine mmezoea Toyota tuu
 
Jamani me nimeomba bei kamili na kama vp je kuna utaratibu gani wa kuweza kulinunua, na kama ni matatizo ni yepi, au mnashauri ninunue bus ndogo ya aina gani kwa matumizi ya daladala
 
Wadau nisaidieni hivi hizi bus aina ya eicher zinauzwa bei gani??

nenda africarriers wauzaji na waletaji wa hizo eicher.....pale utajuaaa kila kitu kwa hiyo nenda huko
 

Mkuu mbona hujawa Msaada kwa wanaotafuta taarifa za hiyo GARI? umeishia kuonya2 hebu funguka zaidi ndg yetu....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…