Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni pm mkuu
Ni pm mkuu
Ili umtapeli tusikustukie!. Sema bei hapa watu wote wajue. Kama pia kuna mtu yupo interested apate mawazo mbalimbali kisha akitaka muwasiliane.Ni pm mkuu
Ni pm mkuu
Je TATA Marcopolo?kiukweli eicher sio gari kabisa kama unataka kufanya biashara ya daladala kuna dcm halichoki
Eicher ni Kichefuchefu ukikaa nalo mwaka shukuru zipo kama Bajaj au Boda boda Sun Lag.
Wadau nisaidieni hivi hizi bus aina ya eicher zinauzwa bei gani??
Ndg ngoja niwe muwazi kilicho niuta kwa hizo Bus nisingependa wajasilia mali ndg wa damu ya Kitanzania kisiwatokee kama una mpango wa kununua huo ugonjwa wa moyo naomba uwaulize walioteseka na hayo mabus,sikupi jibu la kiasi gani zinauzwa ili mikunusuru la ukijitia wazimu kanunue