Bus gan nzuri la kutoka iringa kwenda mwanza.

Wakuu nauliza bus gan Zur linalotoka iringa asubuh kuelekea mwanza.nataka linaloanzia iringa mjini.
Lipo kapricon iringa mwanza, ila kwa ushauri kama unataka luxury sogea apo dodoma utapata bus nzuri maana zipo nyingi, Satco, Allys, Bright line, Isamilo n.k pia unaweza kusubiri ya kutok mbeya fikoshi, primier ila utafika umechoka sana, pia kuna super feo kutoka songea.
 
Linaondka SAA ngapi hapa mjin
 
Nakushauri ukihitaji gari nzuri nenda dodoma na ukishindwa panda Kapricon, tafadhali usijichanganye usubiri za Mbeya kuna kunguni mpaka mlangoni
 
Back
Top Bottom