Bwana Bima
JF-Expert Member
- Jul 29, 2014
- 429
- 929
- Thread starter
- #41
Unayeenda mbeya panda sauli. Hizi Newforce hazina guarantee. Haiwezekan gar ndani ya mwezi accident zinatokea zaidi ya 5. Hio ni hatar sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jumbe kama.hizi hutangulia.kabla ya disaster kufuatia....Sauli ni kampuni inayomilikiwa na bilionea Mtanzania pande za chunya Mbeya. Hapa kati baadhi ya gari zake muhimu zilipotea ghafla tu akibakiwa na gari nne tu lakini bado anajitahidi.
Dereva wake wako makini sana licha ya mwendo wanaotembea. Si rahisi kusikia kampuni hii madereva wakiangusha gari kama ilivyo New Force. Ndio sababu ina mashabiki wake àmbao huwaambii kitu. Ni matumaini yangu gari zake zingine zitarudi na kuanza kazi mara moja
Karibu ABC bus za wastaarabuUle mwendo nauogopa aisee
Bora kupanda Alsaedy tu ndiyo wana mwendo rafiki.
Aliingia kichwa kichwa aliuziwa jina toka lini benzi ikamudu bongoBenz ndo linamsumbua ila scania bado zinapiga kaz
Cummins engine mchina power yake ndogo kwa scania engineSauli ni basi na nusu, nilienda nalo mbeya safari ile ilikuwa Safi sana, chuma imechoka kiasi lakini inavopangua Michina mipya kama imesimama..
Wakati wakurudi naenda kukata tiketi nakuta siku tatu mbele chuma imejaa..ikabisi nipande mchina new force basi njiani naona dereva wa new force alijitahidi kupambana sana ila mwisho wa siku sauli ni sauli tu.
Roho iliniuma naona chuma inapotea hiyoooo kama mmesimama.
Hongera zao Sauli
Ipi sasaJumbe kama.hizi hutangulia.kabla ya disaster kufuatia....
Upo sahihi lakini pia kwa mtazamo wang mchina atachoka mapema while ushachukua nyingine + services+ administration costs utajikuta unakuja mle mle bora uchukue scania coz zinakaa muda mrefu. Nenda kigoma basi nyingi zina plate namba A aina ya Scania lakini zinapiga tu kazi kama kawaida tofauti na mchina. Mchina wa plate namba A now a days hafurukutiKibiashara za mabus chukua mchina.
Sauli moja unapata Mchina 2 na moja unapewa mkopo.
Mchina anarudisha faida haraka kuliko scania.
Kabisa kabisa. Mfano. Garu zinazoenda mbeya ukiona gari za sauli au superfeo kapitwa basi ujue ni umakini tu then traffic barabarani. Ila mchina hamna kituCummins e
Cummins engine mchina power yake ndogo kwa scania engine
Hatuangalii durability labda kwa biashara za malori.Upo sahihi lakini pia kwa mtazamo wang mchina atachoka mapema while ushachukua nyingine + services+ administration costs utajikuta unakuja mle mle bora uchukue scania coz zinakaa muda mrefu. Nenda kigoma basi nyingi zina plate namba A aina ya Scania lakini zinapiga tu kazi kama kawaida tofauti na mchina. Mchina wa plate namba A now a days hafurukuti
Wengi wamenijibia kila swali na comments. Wengi wanajua kwann sauli ni gari bora sana. Madereva wake wako makini mno. Huwezi kusikia gar za sauli zinapinduka hata siku moja. Haya mambo ya kugonga yapo na yanatokea lakini sio kupindua gari kiasi cha kuhatarisha maisha ya wateja. Scania ni gari nzuri sana. Gari inayomsumbua ambayo nadhani ni kwasababu ya gharama za matengenezo ni ile Benz. Lakini zingine zote Newforce hua wanafurukuta na ataharibu gari zake zote hizi hata miaka 10 ijayo zitaendelea kupiga kazi
Sauli alituacha mikumi shaa tukaambiwa makambako alipita saa 8
Jumbe kama.hizi hutangulia.kabla ya disaster kufuatia....
Watoto hawa mkuu,ndio maana wanashangilia mchuano mkali barabarani.Mwendo mkali ni hatari. Lama wanakimbia sana basi ni suala la muda tu kuna siku wata watalia. Nashangaa mpaka karne hii kuna malimbukeni bado wanashabikia mabasi yanayokimbia kupitiliza.
Lakini hata watoto kwa nchi zenye raia wanaojitambua hawafanya hivyo. Kwetu ni ulimbukeni tu ambao umeshakuwa utamaduni wetu.Watoto hawa mkuu,ndio maana wanashangilia mchuano mkali barabarani.
Mko vizuri Mkuu, nitaanza kutumia usafiri wenu pia kama mna mwendo mzuriKaribu ABC bus za wastaarabu
Mkuu, hata uwe na baiskeli, huwezi kaa nyuma ya roli Kitonga.Nakukumbusha utamu wa sauli upo kitonga dar to mbeya unavorud ye hakai nyuma ya malori eneo lile ni hatar ye anaunga moja kwa moja kukaa nyuma ya malori kitonga ni hatar sana