Bus za Sauli miamba ya Nyanda za Juu Kusini

Sauli ni kampuni inayomilikiwa na bilionea Mtanzania pande za chunya Mbeya. Hapa kati baadhi ya gari zake muhimu zilipotea ghafla tu akibakiwa na gari nne tu lakini bado anajitahidi.

Dereva wake wako makini sana licha ya mwendo wanaotembea. Si rahisi kusikia kampuni hii madereva wakiangusha gari kama ilivyo New Force. Ndio sababu ina mashabiki wake àmbao huwaambii kitu. Ni matumaini yangu gari zake zingine zitarudi na kuanza kazi mara moja
Hizi basi naziogopa sana. Bora niendelee na iman plus
 
Sauli ni kampuni inayomilikiwa na bilionea Mtanzania pande za chunya Mbeya. Hapa kati baadhi ya gari zake muhimu zilipotea ghafla tu akibakiwa na gari nne tu lakini bado anajitahidi.

Dereva wake wako makini sana licha ya mwendo wanaotembea. Si rahisi kusikia kampuni hii madereva wakiangusha gari kama ilivyo New Force. Ndio sababu ina mashabiki wake àmbao huwaambii kitu. Ni matumaini yangu gari zake zingine zitarudi na kuanza kazi mara moja
Aiseee kuna mwamba anaitwa Golden deer

Aiseeee moto kuotea mbaliiii

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Msalimie Tito mwambie aendelee kupangua gia mwanzo mwenga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Beautiful Onyinye nampa hi
 
Sauli ni kampuni inayomilikiwa na bilionea Mtanzania pande za chunya Mbeya. Hapa kati baadhi ya gari zake muhimu zilipotea ghafla tu akibakiwa na gari nne tu lakini bado anajitahidi.

Dereva wake wako makini sana licha ya mwendo wanaotembea. Si rahisi kusikia kampuni hii madereva wakiangusha gari kama ilivyo New Force. Ndio sababu ina mashabiki wake àmbao huwaambii kitu. Ni matumaini yangu gari zake zingine zitarudi na kuanza kazi mara moja
Chawa wa Sauli
 
Hayo malori wanapanda wabeba kalai wa Chunya, siku hizi habari ni Shabiby, siti za kulala na choo ndani..
 
Sauli ni kampuni inayomilikiwa na bilionea Mtanzania pande za chunya Mbeya. Hapa kati baadhi ya gari zake muhimu zilipotea ghafla tu akibakiwa na gari nne tu lakini bado anajitahidi.

Dereva wake wako makini sana licha ya mwendo wanaotembea. Si rahisi kusikia kampuni hii madereva wakiangusha gari kama ilivyo New Force. Ndio sababu ina mashabiki wake àmbao huwaambii kitu. Ni matumaini yangu gari zake zingine zitarudi na kuanza kazi mara moja

Sauli Chuma aisee mimi nikiwa na safari kwenda Mbeya ni booking siku Mbili kabla.
 
Back
Top Bottom