Bus zuri la kwenda moshi

mshana jr ni mtani wangu wa humu JF na ninampenda sana. Ungo Express uwa unalipia kwa viganja tu vya binadamu na maelewano ila yabidi kuwa na roho ngumu.

Kama kuna sehemu ya kuchaji simu basi wew na mtani wako mtakuwa mmenipata
 
naona mwanaume wa dar anaenda mkoani.
anataka nasehemu ya kucharge simu ili asikose udaku wa mange.

panda kilimanjaro lux mkuu huduma hiyoo utapata.
 
Unatokea upande gani mwa Tanzania bara.
 
Kwa upande wangu,Tahmeed na Extra Luxury ni mabus mazuri na kama una pesa ya kutosha panda Tahmeed ya Nairobi ni nzuri balaa.
Tahmeed ni sh.ngapi mpaka arusha. Na Extra luxury yako yanayoanzia moshi?
 
Extra luxury ndio mambo yote,nikiwa naenda home na kurudi siijutii 35k zangu.
Mbona umekazia sana swala la chager meku?kama unataka kusafiri kwa raha zako hizo na nyinginezo tafuta gari inaitwa extra luxuries hutajutia 35,000 yako mkuu

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…