Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mleta thread ni wa kikenaona mwanaume wa dar anaenda mkoani.
anataka nasehemu ya kucharge simu ili asikose udaku wa mange.
panda kilimanjaro lux mkuu huduma hiyoo utapata.
Unatokea upande gani mwa Tanzania bara.Habari wana Jf.polen kwa ujenzi wa taifa hili ambalo inasemekana wananchi wake hawana furaha kwa kwa zaidi ya 90%.ila mimi ninafuraha sana tu kwa kuwa ni mzima wa afya siumwi.
Ngoja niende kwenye mada moja kwa moja.wapendwa naomba mnijuze basi zuri ambalo linacharge system naweza charge cm nikiwa nimekaa kwa seat yangu.asanten
Daby (jirani)
Husna
Shunie
Jovitha
Mondray
Karibuniii
Nisaidie kumwambia kuwa huyo mange hata kumfuatilia simfuatiliag ktk mitandao labda nisikie watu wakimsema na hapa jf tu
Tahmeed ni sh.ngapi mpaka arusha. Na Extra luxury yako yanayoanzia moshi?Kwa upande wangu,Tahmeed na Extra Luxury ni mabus mazuri na kama una pesa ya kutosha panda Tahmeed ya Nairobi ni nzuri balaa.
Tahmeed ni sh.ngapi mpaka arusha. Na Extra luxury yako yanayoanzia moshi?
Extra luxury ndio mambo yote,nikiwa naenda home na kurudi siijutii 35k zangu.Kwa upande wangu,Tahmeed na Extra Luxury ni mabus mazuri na kama una pesa ya kutosha panda Tahmeed ya Nairobi ni nzuri balaa.
Mbona umekazia sana swala la chager meku?kama unataka kusafiri kwa raha zako hizo na nyinginezo tafuta gari inaitwa extra luxuries hutajutia 35,000 yako mkuu

Ijumaa naenda moshi ngoja nijaribuExtra luxury ndio mambo yote,nikiwa naenda home na kurudi siijutii 35k zangu.
Utanipa mrejesho basiIjumaa naenda moshi ngoja nijaribu