Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subhanallah! Mbona wamekuwa wavivu hivyo?Waamrishwe kufagia.
Kerk street hiyo joberg...kama kariakoo tu..wabongo wamejaa hapo ni hatari! Btw huyo mtoto wa kizulu asikutishe wamejaa ukimwi hutaamini..na wengi wako kama huyo..
Wapambanaji eeh!Ila wanaume bana.
Kwa hapa sijauona hata.Wapambanaji eeh!
Sidhani kama post ililenga bus na barabara, ...tumepata ujumbe wako
Sawasawa, tumeliona..
hiyo mkuu, ukimwi wake sio mchezo....naona mnyama hapo kwa mbele, Nakumbuka niliwahi panda kutoka Lusaka mpaka Joburg.
Nyumba ni choo