Busara ipi itumike!

Kipindi hauna kazi huyo wa type yako 30+ hakuwa na msaada na wewe.
Umepata kazi sasa hivi umekuwa jeuri. Kama ulipata kazi kupitia kwake na alikupigia promo mwambie huyo wa 30+ naye akutafutie kazi akupigie promo.
Usione umefanikiwa, safari bado😀😀😀😀
 
Mkuu acha basi make kiukwel napanga leo tuzungumze ili nijue chakufanya make kwasasa siwazii uhusiano huu
Maamuzi yako mikononi mwako wengine tulishafanya maamuzi zaidi ya miaka 10 iliyopita
 
Maamuzi yako mikononi mwako wengine tulishafanya maamuzi zaidi ya miaka 10 iliyopita
Unawezaje kuishi namwanamk ambae humpendi sana hiyo ndo point yangu! make kiukwel yuko sawa ila shida ndo hiyo
 
Unawezaje kuishi namwanamk ambae humpendi sana hiyo ndo point yangu! make kiukwel yuko sawa ila shida ndo hiyo
Fanya maamuzi yako mzee hayo ndio sahihi. Usijeoa huyo dada baadae ukaendelea kuchepuka na unayempenda
 
Huyo wa 30+ naye nadhani ulisema unataka kuachana nae kwasabu ya utoto,. Asa sijui unataka nini🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…