Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,083
- 6,872
Kipindi hauna kazi huyo wa type yako 30+ hakuwa na msaada na wewe.Nipo kwenye mahusiano na dada fulani, tunaweza kusema hii kazi alinipigia promo sana, ni sekta binafsi ila ukweli ni innocent girl (hana makuu).
Tupo taasisi moja ila branches tofauti najua ananipenda ila niko na mahusiano na dada fulani namkubali sana (30+) na ndio type zangu hao ma over.
Shidaa! N jinsi ya kumkataa kiustaraabu maanake ameanza kuingiza inshu za ndoa na nyumbani wamempokea! Na wanamkubali sana.
Ipi ni njia sahihi ya kuachana naye coz amenisaidia vingi ukweli nilijua hatutafika mbali lakini amekomaa sana . Kuna baadhi ya matukio nimempiga ila bado akasamehe hata hili la mahusiano yangu mengine anajua.
Umepata kazi sasa hivi umekuwa jeuri. Kama ulipata kazi kupitia kwake na alikupigia promo mwambie huyo wa 30+ naye akutafutie kazi akupigie promo.
Usione umefanikiwa, safari bado😀😀😀😀