Busara janga la Corona: Wakati CCM wakiahirisha mikutano, CHADEMA wang'ang'ania kufanya mikutano

Achana nao wahuni hawa! Atafanya mkutano mwenyewe na vichaa tu, wenye akili tunatafakali na kuliweka taifa letu kwenye maombi!
 
Jana ilikuwa haijaanza?mbona haiti mkutano wa wanahabari kubadili kauli?

Sent using Jamii Forums mobile app
Walichokufanya Cdm unajua mwenyewe. Kama mimba Hii lilichomoka omba nyingine.

Leo hii Ccm wilaya ya Ilemela wamejazana kwenye ukumbi wa Baba Paroko Buzuruga na ulinzi juu. Kingefanya chama kingine mkutano kanisani au mskitini kingeitwa ni cha kidini au kikanda !!!. Kwao ni sawa !!!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani april ni mbali?mnasubiri nini?
Inaweza kufika wakati huo na tatizo likawa limekwisha!Kama litakuwepo basi itatoka taarifa ta kusitisha,muda bado upo na sioni tatizo katika hilo!
 
Ungejielekeza kwenye hoja kamanda acha kuweweseka unazidi kumharibia Mbowe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…