Busara janga la Corona: Wakati CCM wakiahirisha mikutano, CHADEMA wang'ang'ania kufanya mikutano

Ndugu zangu,

Ili kupambana na janga la ugonjwa wa Corona CCM wametangaza kupitia Katibu wa Itikadi na Uenezi leo Ndg. Humphrey Polepole kuahirisha mikutano na mikusanyo yote inayoratibiwa na CCM.

''Ajizi nyumba ya njaa''; Mwenyekiti wa CHADEMA Ndg. Freeman Mbowe bado kakomaa kuhamasisha mikusanyiko ya kisiasa. Hii ndio busara mpya ya KUB?
hakika sio busara hata kidogo kwa hali tuliyonayo mikutano HAIFAI
 
Ndugu zangu,

Ili kupambana na janga la ugonjwa wa Corona CCM wametangaza kupitia Katibu wa Itikadi na Uenezi leo Ndg. Humphrey Polepole kuahirisha mikutano na mikusanyo yote inayoratibiwa na CCM.

''Ajizi nyumba ya njaa''; Mwenyekiti wa CHADEMA Ndg. Freeman Mbowe bado kakomaa kuhamasisha mikusanyiko ya kisiasa. Hii ndio busara mpya ya KUB?
Nani ndugu yako ?

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
Sio kweli kuwa CDM wanang'ang'ania mikutano.

Ikumbukwe kuwa tamko la Mbowe ilikuwa kabla ya katazo la mikusanyiko kwani mpaka jana jioni hata mh. Rais alikuwa akihutubia mikusanyiko.

Mh. Lema alishauri jana kuwa CORONA haichagui na Rais aache mikusanyiko.

Sasa imekuwaje mnashupaa na overtaken event?
Umemsikia John Mrema?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,

Ili kupambana na janga la ugonjwa wa Corona CCM wametangaza kupitia Katibu wa Itikadi na Uenezi leo Ndg. Humphrey Polepole kuahirisha mikutano na mikusanyo yote inayoratibiwa na CCM.

''Ajizi nyumba ya njaa''; Mwenyekiti wa CHADEMA Ndg. Freeman Mbowe bado kakomaa kuhamasisha mikusanyiko ya kisiasa. Hii ndio busara mpya ya KUB?
Kumbe mikusanyiko ya kisiasa ilikuwa imeruhusiwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia common sense kidogo tu
Haya waziri ameshatangaza corona ipo,mbona mpo kimya?
Maana yake mnataka watanzania wafe kwa kuambukizana
CCM wenzangu huwa mnatutia aibu kwa baadhi ya mambo ambayo huwa yapo bayana tusikidhalilishe chama kwa kuonesha umma wa watanzania kwamba CCM ina watu wajinga , umesha ambiwa kwamba mbowe alitoa tamko kabla ya waziri kutoa tamko sasa tukiendelea kulazimisha uongo ndio tunapo wapa credit upinzani waendelee kutushambulia nakutuona CCM hatuna watu wenye timamu.

Kumbuka hata mwenye kiti wetu wa chama taifa hadi juzi tu jumatatu alikuwa na mikutano ya hadhara na wananchi sehemu mbali mbali alipo kuwa akielekea DODOMA ila baada tu ya waziri kutoa tamko hata mwenye kiti wetu hajafanya mkusanyiko wowote , hili lipo wazi kada mwenzangu
 
CCM hainawahi kuwa na mfuasi kichaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,

Ili kupambana na janga la ugonjwa wa Corona CCM wametangaza kupitia Katibu wa Itikadi na Uenezi leo Ndg. Humphrey Polepole kuahirisha mikutano na mikusanyo yote inayoratibiwa na CCM.

''Ajizi nyumba ya njaa''; Mwenyekiti wa CHADEMA Ndg. Freeman Mbowe bado kakomaa kuhamasisha mikusanyiko ya kisiasa. Hii ndio busara mpya ya KUB?
Hakuna tofauti kati ya wewe na kibajaji au slow slow. Mavuvuzela walingojea Chadema waseme ndipo wasitishe mikusanyiko. Akili za kukomoana.
The hallmarks of bad governance:
Ambiguity
Arbitrariness
Capriciousness

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ya ccm iingilie kati , watoe bei elekezi ya vizuia pua , watu washageuza fursa wakati inatakiwa tujikinge sie watanzania wanyonge
 
Kuendeleza mikutano muda huu ni upumbavu.

Tanzania viongozi wapumbavu kuanzia chama tawala mpaka upinzani.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Ndugu zangu,

Ili kupambana na janga la ugonjwa wa Corona CCM wametangaza kupitia Katibu wa Itikadi na Uenezi leo Ndg. Humphrey Polepole kuahirisha mikutano na mikusanyo yote inayoratibiwa na CCM.

''Ajizi nyumba ya njaa''; Mwenyekiti wa CHADEMA Ndg. Freeman Mbowe bado kakomaa kuhamasisha mikusanyiko ya kisiasa. Hii ndio busara mpya ya KUB?
Hauwezi kutumia hata Akili kidogo kutambua Mbowe alitangza lini kuhusu hiyo mikutano na polepole alitangaza lini na waziri alitangaza lini kuhusu kusitisha mikusanyiko? Mbona hata mtoto wa darasa la Pili anaweza kutambua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupitia Corona ,watanzania tutaoata muda wa kuitafakari CHADEMA na nia yake mbaya kwa watu. Swali la msingi litakuwa , je CHADEMA ni chama Cha siasa kinachojali au kikundi kinachohitaji kuvuna ukwasi ?
Unadhani Watanzania hatujui nia ovu ya CCM?mlishauriwa na wapinzani mfunge mipaka hamkusikia,Msigwa aliwashauri suala hili lijadiliwe bungeni kama jambo la dharula mkajitia kichwa ngumu.Mmeendelea kupokea watalii kwa sababu mnajali zaidi fedha na siyo Afya za Watanzania. Muda Fulani muone aibu kwa matendo yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom