Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Oh please!. Not to that extent.
P
Oh please!. Not to that extent.
Ungejielekeza kwenye hoja kamanda acha kuwewesekaHakuna tofauti kati ya wewe na kibajaji au slow slow. Mavuvuzela walingojea Chadema waseme ndipo wasitishe mikusanyiko. Akili za kukomoana.
The hallmarks of bad governance:
Ambiguity
Arbitrariness
Capriciousness
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamanda humsikia John Mrema jana akisisitiza kauli ya Mbowe ya juzi?Hauwezi kutumia hata Akili kidogo kutambua Mbowe alitangza lini kuhusu hiyo mikutano na polepole alitangaza lini na waziri alitangaza lini kuhusu kusitisha mikusanyiko? Mbona hata mtoto wa darasa la Pili anaweza kutambua?
Sent using Jamii Forums mobile app
MICHANGOOO IMEWANOGEAA.MAPOPOMPOOWALEENdugu zangu,
Ili kupambana na janga la ugonjwa wa Corona CCM wametangaza kupitia Katibu wa Itikadi na Uenezi leo Ndg. Humphrey Polepole kuahirisha mikutano na mikusanyo yote inayoratibiwa na CCM.
''Ajizi nyumba ya njaa''; Mwenyekiti wa CHADEMA Ndg. Freeman Mbowe bado kakomaa kuhamasisha mikusanyiko ya kisiasa. Hii ndio busara mpya ya KUB?
Nchi gani duniani imefunga mipaka? kilichofanyika ni kudhibiti kusafiri kwa watu kusiko kwa lazima.Kama polepole angekuwa na akili angemshauri mwenyekiti wake afunge mipaka tokea wiki mbili zilizopita na sio kuvunja mkutano wa ccm
Sent using Jamii Forums mobile app
tufanye hivi Mbowe hana taarifa ya uwepo wa corona sababu alikuwa jela..yaani hajasikia kabisaaaaaaaaUnajua kabisa sio kila aliyemsikia kwenye vyombo vingine vya habari ana uwezo wa kupata hizo habari kwa mtandao.
Kuna wengine hawana habari kama kuna korona kwetu.
Subirini tu. Muda ukifika atasema.
Acheni upotoshaji.
Yeye alisema hawezi kuhairisha iwe isiwe mikutano lazima mwezi wa Nne Tarehe 4. Ni vyema ajitokeze tena atupe ya mwisho au labda Corona yenyewe iishe kabla ya siku ya mikutano kuanza.Wakudadavuwa, Mkuu Kaka Mkubwa Wakudadavua,
No I don't believe this. Wakati Mbowe akitangaza kuanza mikutano, Corona ilikuwa bado, lakini baada ya Corona kuingia, ataahirisha, April bado mbali.
P
Cheap Politics!Ndugu zangu,
Ili kupambana na janga la ugonjwa wa Corona CCM wametangaza kupitia Katibu wa Itikadi na Uenezi leo Ndg. Humphrey Polepole kuahirisha mikutano na mikusanyo yote inayoratibiwa na CCM.
''Ajizi nyumba ya njaa''; Mwenyekiti wa CHADEMA Ndg. Freeman Mbowe bado kakomaa kuhamasisha mikusanyiko ya kisiasa. Hii ndio busara mpya ya KUB?
Kuendeleza mikutano muda huu ni upumbavu.
Tanzania viongozi wapumbavu kuanzia chama tawala mpaka upinzani.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Hawezi kurudiYeye alisema hawezi kuhairisha iwe isiwe mikutano lazima mwezi wa Nne Tarehe 4. Ni vyema ajitokeze tena atupe ya mwisho au labda Corona yenyewe iishe kabla ya siku ya mikutano kuanza.
Jenga hoja kamandaMbowe anawajambishaga mnahangaikaaaa... angalieni yasije yakashuka yale yenyewe
Haya,tangazo la CDM limetoka na ni bora kuliko hayo ya serikali!Tuliwaambia muda bado upo kwani mikutano aliyotanga ni april!
Kwa hiyo CHADEMA wametoa kauli kwamba waneahirisha mikutano kutokana na Coronavirus?Mkuu hapa ume waonea Chadema kwa kuwaweka kapu moja na Wapumbavu wa Chama Tawala..Tamko la Wapinzani lilitoka kabla ya hayakutokea na kutangazwa.Isitoshe Nia yao (Wapinzani) hawajaitimiza mpaka sasa kutokana na Muda.
Sawa.Hizi ni chuki za kisiasa tu za kipuuzi. Wakati Mbowe anatangaza bado Waziri alikua hajatoa tangazo la janga hili. Na baada ya Tangazo mikutano ilisitishwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi mahurutishwe?mnadesa kwa MbatiaHaya,tangazo la CDM limetoka na ni bora kuliko hayo ya serikali!Tuliwaambia muda bado upo kwani mikutano aliyotanga ni april!
Intelligensia ya chadema haikujua uwepo wa corona? Kwa nini haikumshauri asitangaze? Kwa nini hajaomba msamaha kwa hill?Wakudadavuwa,
Lile kundi la wanaccm walikuwa wakimshangilia Magufuli akifukuza watu kazi lilikuwa la wanachadema? Chadema ilipotangaza itafanya mikutano uwepo wa Corona nchini ilikuwa haujatangazwa, wewe na Chadema ni wakewenza nini? Sasa chuki ya nini.