Busara janga la Corona: Wakati CCM wakiahirisha mikutano, CHADEMA wang'ang'ania kufanya mikutano

Busara janga la Corona: Wakati CCM wakiahirisha mikutano, CHADEMA wang'ang'ania kufanya mikutano

Intelligensia ya chadema haikujua uwepo wa corona? Kwa nini haikumshauri asitangaze? Kwa nini hajaomba msamaha kwa hill?
Mgonjwa wa kwanza yuko Moshi kwa nini hajaenda kumsalimia ?
Intelejensia ya serikali iko wapi mpaka mtu anapita airport na koron bila kufahamika?Serikali kwanini haijaomba msamaha?Umetumia vigezo gani kuuliza kwanini hajaenda kumuona mgonjwa huyo?Ana undugu naye?Au kisa yuko moshi?Acheni ujinga,chuki dhidi ya CDM zimefanya mnakuwa wangese kabisa!
 
Sawa.

Tuondoe siasa tujadili mambo bila ushabiki.

Mimi si CCM wala CHADEMA, nawasema wote tu kwa kuangalia hoja.

Mbowe aliongea habari za mikutano kabla ya kudhihirika kwamba tuna Coronavirus Tanzania (ingawa alitakiwa ajue inaweza kuwepo muda wowote).

Sawa, tuseme alitoa tamko kabla ya Corona kufika kwetu.

Sasa Coronavirus ishafika. Watu watatu wanaumwa, wengine 26 wanashukiwa kuwa wanaweza kuwa nayo, wengine wanaingia nchini, wengine wanazunguka.

Kwa kujua hilo sasa, ameahirisha mikutano?

Ametoa tamko la kuahirisha mikutano tujue kaweka afya za watu mbele kuliko siasa?

Sent from my typewriter using Tapatalk
Mikutano ni april,muda bado upo!Hata shule zimefungwa mpaka april so naona hakuna haja ya kusitisha mpaka muda ufike na tuone hali itakuwaje!Hayo ni mawazo yangu japo CDM wameshatangaza kuahirisha!
Mbona hamumuulizi JPM kwanini alifanya mikutano huku akiwa na taarifa za korona kuingia nchini?
 
Kwa hiyo CHADEMA wametoa kauli kwamba waneahirisha mikutano kutokana na Coronavirus?

Sent from my typewriter using Tapatalk
Mikutano ni april,sioni haja ya wao kusitisha sasa wakati muda bado upo!Ikifika wakati huo kama janga litakuwa halijakwisha basi wamaweza kutangaza kusitisha!
 
tufanye hivi Mbowe hana taarifa ya uwepo wa corona sababu alikuwa jela..yaani hajasikia kabisaaaaaaaa
Usiseme "tufanye" fanya mwenyewe.
Mimi na wenye akili timamu tunajua context yote ila waliojitoa ufahamu ndo wanajitahidi kufanya upotoshaji.

Nampongeza JPM kwa kutuletea CORONA Tz.
 
Usiseme "tufanye" fanya mwenyewe.
Mimi na wenye akili timamu tunajua context yote ila waliojitoa ufahamu ndo wanajitahidi kufanya upotoshaji.

Nampongeza JPM kwa kutuletea CORONA Tz.
Wewe na wenzio mmeanza lini kuwa na akili timamu?
 
Wakudadavuwa,
Lile kundi la wanaccm walikuwa wakimshangilia Magufuli akifukuza watu kazi lilikuwa la wanachadema? Chadema ilipotangaza itafanya mikutano uwepo wa Corona nchini ilikuwa haujatangazwa, wewe na Chadema ni wakewenza nini? Sasa chuki ya nini.
Je, huyo Mbowe inayemtetea ameishabadili tamko lake sasa?
 
Mikutano ni april,muda bado upo!Hata shule zimefungwa mpaka april so naona hakuna haja ya kusitisha mpaka muda ufike na tuone hali itakuwaje!Hayo ni mawazo yangu japo CDM wameshatangaza kuahirisha!
Mbona hamumuulizi JPM kwanini alifanya mikutano huku akiwa na taarifa za korona kuingia nchini?
Unaelewa kwamba April ni less than two weeks away?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Wakatati waziri ummy akipiga marufuku mikusanyiko isiyokuwa na ulazima bosi wake yupo huko kwenye mikutano yake ya kutatua matatizo ya wananchi Kama wanavyodai wenyewe sasa nani wajinga Kati ya chadema ambayo mpaka sasa hawajafanya mkutano hata mmoja?
Ndugu zangu,

Ili kupambana na janga la ugonjwa wa Corona CCM wametangaza kupitia Katibu wa Itikadi na Uenezi leo Ndg. Humphrey Polepole kuahirisha mikutano na mikusanyo yote inayoratibiwa na CCM.

''Ajizi nyumba ya njaa''; Mwenyekiti wa CHADEMA Ndg. Freeman Mbowe bado kakomaa kuhamasisha mikusanyiko ya kisiasa. Hii ndio busara mpya ya KUB?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo CHADEMA wametoa kauli kwamba waneahirisha mikutano kutokana na Coronavirus?

Sent from my typewriter using Tapatalk

Tarehe waliyo itangaza kuwa wataanza Mikutano haijafika Mkuu ,suala la kusitisha lipo wazi watakanusha sababu ktk Taarifa yao walisema watafuata utaratibu wa Sheria.

Tamko la Serikali kupitia Waziri Mkuu lipo wazi na ni Amri ,tusubiri Muda ufike ndio tuwahukumu.
 
Wanasubiri siku ya mkutano ifikie ndiyo waahirishe mkutano?

Kitu gani kinawazuia kusema leo kwamba kutokana na janga la Corona wanasitisha mikutano kuepuka maambukizi?

Unaelewa kwamba kama hamna tamko hilo kutoka uongozi wa CHADEMA kuna watu wa CHADEMA wanaweza kuwa wanafanya mikutano hata leo?
 
Mkuu ,Taarifa yao inasema Wataanza Mikutano Tarehe 4 April.Wame tumia Neno "wataanza" hivyo haiwezi kuwa sasa.
 
Mkuu ,Taarifa yao inasema Wataanza Mikutano Tarehe 4 April.Wame tumia Neno "wataanza" hivyo haiwezi kuwa sasa.
Unaelewa kuwa hilo tamko lilitoleea kabla ya Cirina kuingia n hini?

Na unaelewa kwamba CHADEMA ina mikutano mingi sana, ya ndani na ya nje?

Kufuatia Corona kuingia n hini, CHADEMA ina msimamo gani kuhusu mikutano leo hii? Mikutano ya ndani na ya nje, iliyooangwa kufanyika sasa na iliyopangwa April?

CHADEMA kinasubiri nini kuelezea msimamo wake kuhusu makusanyiko ya watu? Kinasubiri watu 1,000 wafariki kwa Coronavirus?

Mbona chama kinashindwa kuongoza katika janga hili kwa kutoa kauli?

Hiki ndiyo chama mbadala?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Ndugu zangu,

Ili kupambana na janga la ugonjwa wa Corona CCM wametangaza kupitia Katibu wa Itikadi na Uenezi leo Ndg. Humphrey Polepole kuahirisha mikutano na mikusanyo yote inayoratibiwa na CCM.

''Ajizi nyumba ya njaa''; Mwenyekiti wa CHADEMA Ndg. Freeman Mbowe bado kakomaa kuhamasisha mikusanyiko ya kisiasa. Hii ndio busara mpya ya KUB?
Povu la nini hadi mnajihami na CORONA? Nyinyi wenyewe ni afadhali ya CORONA.
 
Ndugu zangu,

Ili kupambana na janga la ugonjwa wa Corona CCM wametangaza kupitia Katibu wa Itikadi na Uenezi leo Ndg. Humphrey Polepole kuahirisha mikutano na mikusanyo yote inayoratibiwa na CCM.

''Ajizi nyumba ya njaa''; Mwenyekiti wa CHADEMA Ndg. Freeman Mbowe bado kakomaa kuhamasisha mikusanyiko ya kisiasa. Hii ndio busara mpya ya KUB?
Wakudadavuwa, Mkuu Kaka Mkubwa Wakudadavua,
No I don't believe this. Wakati Mbowe akitangaza kuanza mikutano, Corona ilikuwa bado, lakini baada ya Corona kuingia, ataahirisha, April bado mbali.
P
Jana ilikuwa haijaanza?mbona haiti mkutano wa wanahabari kubadili kauli?

Sent using Jamii Forums mobile app

Muda bado, ataahirisha tuu.
P
Ndio tunamueleza

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeharakisha mno, vitu vingine huhitaji rocket science kuvielewa ni just the use of common sense.
P
Haya Kaka mkubwa Wakudadavuwa
Pokea hii
Muda huu mh. Mbowe anaongea na waandishi wa habari kuhusu ugonjwa wa corona

Updates
Kama chama mwenyekiti ametangaza kusitisha shughuli za mikutano hapo April waliotangaza kuianza baada ya muda kutokana na katazo batili la mh. Rais

Karibu
 
Back
Top Bottom