Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 5,313
- 4,751
Kuna sheria na kuna busara. Sheria tunazitunga sisi wenyewe kupitia wawakilishi wetu bungeni ambao wengi wao ni wa darasa la saba kama sisi. Busara ni kitu ambacho mtu hupewa na Muumba wake (Mungu). Wapo waliopewa busara nyingi na wapo waliopewa busara kiduchu. Yote ni kwa mapenzi yake Mungu.
Kwa kutumia busara zake hakimu aliruhusu wakazi wote wa Dar es Salaam kuhudhuria pale Kisutu mahakamani wakipenda. Hii ni amri ya mahakama. Polisi wanalazimika kuitii bila shurri. Hata kama mamillioni ya wakazi wa DSM watamiminika pale, wakakanyagana, wakamaliza hewa na kuambukizana magonjwa, polisi hawatakiwi kufanya cho chote kwani ni amri ya hakimu iliyoongozwa na busara zake.
Let's be tuned for what's ago ne happen tomorrow at Kisutu.