Busara za hakimu aliyeruhusu DSM yote kesho kuhamia Kisutu zitajulikana kesho

Busara za hakimu aliyeruhusu DSM yote kesho kuhamia Kisutu zitajulikana kesho

Hakuna sheria inayokataza mtu yeyote kuhudhuria kesi mahakamani.

Hii ni haki ya kikatiba, sheria mama ya nchi.
Busara ni zaidi ya sheria yo yote ile iliyotungwa na binadamu. Si unaona Mwambukusi alivyokuwa hana busara wala hekima. Yeye busarabzake ndogo zinazimempelekea kuamini kuwa TLS ni muhimili mmojawapo wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Busara ni zaidi ya sheria yo yote ile iliyotungwa na binadamu. Si unaona Mwambukusi alivyokuwa hana busara wala hekima. Yeye busarabzake ndogo zinazimempelekea kuamini kuwa TLS ni muhimili mmojawapo wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Suala la watu kwenda mahakamani kusikiliza kesi ni haki ya kikatiba. Ni suala la sheria.

Kwenye busara tunaweza kubishana nini ni busara na nini si busara.

Kwenye sheria hakuna ubishi kuwa kwenda kusikiliza kesi ni haki ya kikatiba.
 
Kuna sheria na kuna busara. Sheria tunazitunga sisi wenyewe kupitia wawakilishi wetu bungeni ambao wengi wao ni wa darasa la saba kama sisi. Busara ni kitu ambacho mtu hupewa na Muumba wake (Mungu). Wapo waliopewa busara nyingi na wapo waliopewa busara kiduchu. Yote ni kwa mapenzi yake Mungu.

Kwa kutumia busara zake hakimu aliruhusu wakazi wote wa Dar es Salaam kuhudhuria pale Kisutu mahakamani wakipenda. Hii ni amri ya mahakama. Polisi wanalazimika kuitii bila shurri. Hata kama mamillioni ya wakazi wa DSM watamiminika pale, wakakanyagana, wakamaliza hewa na kuambukizana magonjwa, polisi hawatakiwi kufanya cho chote kwani ni amri ya hakimu iliyoongozwa na busara zake.

Let's be tuned for what's ago ne happen tomorrow at Kisutu.
Kumbe mnayo hofu kiasi hiki? Sikujuwa kuwa Tundu Lissu anawatia hofu kiasi hiki.
Au huelewi ulicho andika hapa

Sasa mtafanyaje kuondokana na hofu hii?!

Na kwa maana hiyo hiyo, ndiyo sababu Samia na Genge lake hawataki pawepo na "HAKI" kwa waTanzania kuwachagua viongozi wao wanaowataka wenyewe; mnaweka BUSARA zenu mbele!

Wewe nilidhani umesoma vya kutosha na hicho ki-MD chako, lakini, kama ulivyo jieleza hapo juu, elimu haina maana yoyote kwako!
 
Busara ni zaidi ya sheria yo yote ile iliyotungwa na binadamu.
Utakuwa ni kilaza wa kushangaza sana wewe. Ndiyo maana Samia anaiita Katiba ya nchi, iliyo mweka madarakani, "vipande vya karatasi", kwa vile watu wa aina yake mnataka atumie "Busara"!
 
Issue ni je nani ataingia ndani ya mahakama
 
Back
Top Bottom